Nyie wake wa manara njoooni mumchukue hata huku Yanga hatumtaki. Mkae naye huko mliko mume wenu.Wamrudishe manara tu
Mana jamaa alikuwa anajua kuinogesha simba
Na akianza kuinanga YANGA kiutani yaan mpk mwanayanga mwenyewe unapoga SONYO la kukubari
Zirudi zama zile manara VS j muro
Wachambuzi Kaka.Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki haswa zaidi katika mwaka huu.
Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?
Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.
Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?
Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.
Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?
Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?
View attachment 2664681
Nenda page ya Simba instagram...imegonga 5million followers...club yenu ina ongelewa kwa kuwa ilikua inadanganya uma...kumbe wachezaji wa kikongo walikuwepo kwa mkopo...
Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki haswa zaidi katika mwaka huu.
Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?
Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.
Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?
Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.
Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?
Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?
View attachment 2664681
Ndiyo tatizo la kulala na njaa lazima uote ndoto za kijinga tu,amka usije kukojoa kitandani.Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki haswa zaidi katika mwaka huu.
Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?
Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.
Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?
Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.
Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?
Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?
View attachment 2664681
Matakataka ya kusadikika unapost humu!Sijui utaweza maana ya interraction.
Anyway ngoja niiache tu hapa kama utapata ugumu wa tafsiri utawauliza wenzako.View attachment 2664803
Kwann uchukie Nabi na Mayele kwenda nje ya Yanga kutafuta maslahi?Teh teh,teh
Unateseka ukiwa wapi bloangu?
Nabi is out,
Mayele on the way,you don't want to discuss about those issues,
You are so obsessed with Simba
Jana mchana simba umetangaza kuachana na wachezaji.Simba haina mvuto au wewe ndio hauna?ili ujue Simba ina mvuto kiasi gani angalia sasa hivi kipindi cha usajiri,simba ikikaa kimya na yanga wanakaa kimya ,simba ikitangaza asubuhi inaachana na mchezaji/wachezaji fulani na yanga jioni inaachana na mchezaji ili tu kuzima trend ya simba sasa utaelewa ni club gani ina set agenda za mpira Tanzania.
Haaata hujaeleweka unaongelea nini.Nenda page ya Simba instagram...imegonga 5million followers...club yenu ina ongelewa kwa kuwa ilikua inadanganya uma...kumbe wachezaji wa kikongo walikuwepo kwa mkopo...
Nimezungumzia suala la MVUTO.mimi sioni umuhimu wa hawa wasemaji zaiidi ya ujinga tuh,simba ipo na washabiki tatizo mashabiki wake hawawezi kuzungumza kitu kwani wameshausoma mchezo "uwongouwongo mwingi"
Ndio maanaa nika quoteMatakataka ya kusadikika unapost humu!
Wyda na Raja wawe nyuma ya uto ,wewe mwenyewe ujishtukii,Interactions sio jambo la kujivunia ni kama ramli tu.