Kwanini Simba SC Imepoteza Mvuto?

Kwanini Simba SC Imepoteza Mvuto?

Wamrudishe manara tu
Mana jamaa alikuwa anajua kuinogesha simba
Na akianza kuinanga YANGA kiutani yaan mpk mwanayanga mwenyewe unapoga SONYO la kukubari
Zirudi zama zile manara VS j muro
Nyie wake wa manara njoooni mumchukue hata huku Yanga hatumtaki. Mkae naye huko mliko mume wenu.
 
embu ingia page kama insta na zingine za hizi timu mbili ukacheki mzigo wa timu ipi umeshiba.
Sijui utaweza maana ya interraction.

Anyway ngoja niiache tu hapa kama utapata ugumu wa tafsiri utawauliza wenzako.
20230621_234124.jpg
 
Simba haina mvuto au wewe ndio hauna?ili ujue Simba ina mvuto kiasi gani angalia sasa hivi kipindi cha usajiri,simba ikikaa kimya na yanga wanakaa kimya ,simba ikitangaza asubuhi inaachana na mchezaji/wachezaji fulani na yanga jioni inaachana na mchezaji ili tu kuzima trend ya simba sasa utaelewa ni club gani ina set agenda za mpira Tanzania.
 
Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki haswa zaidi katika mwaka huu.

Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?

Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.

Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?

Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.

Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?

Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?

View attachment 2664681
Wachambuzi Kaka.
Wachambuzi wanaodhani wanaikomoa Yanga kumbe wanaitengenezea mazingira ya kufuatiliwa. Wachambuzi wanatengeneza habari za kweli na za uongo na hasa hizi za uongo zinapogundulika zinaipandisha. Watu wengi wanadhani Simba inahusika na Hali hii kitu ambacho si kweli. Wachambuzi tu Kwa njaa zào ndo wanaojitengenezea mazingira ya kukuza akaunti za mitandao na kufuatiliwa matokeo yake wanamkuza mmoja wanayemuandika Sana na kumhafifisha mmoja ambaye hawamuandiki wakidhani ndo wanamkuza.
 
Nenda page ya Simba instagram...imegonga 5million followers...club yenu ina ongelewa kwa kuwa ilikua inadanganya uma...kumbe wachezaji wa kikongo walikuwepo kwa mkopo...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki haswa zaidi katika mwaka huu.

Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?

Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.

Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?

Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.

Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?

Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?

View attachment 2664681

Kafanye tafiti Kwanza ujue hiyo picha ilipigwa Kwa lengo gani, maana kama press ya udhamini wa team ya under 20 umefanyika week Tatu zilizopita

Hiyo picha ilikuwa ni kuita mashabiki waende kuisapoti team yao katika viwanja vya Azam complex kwenye mashindano ya under 20
Screenshot_2023-06-22-09-06-11-534_com.instagram.android.jpg
 
mimi sioni umuhimu wa hawa wasemaji zaiidi ya ujinga tuh,simba ipo na washabiki tatizo mashabiki wake hawawezi kuzungumza kitu kwani wameshausoma mchezo "uwongouwongo mwingi"
 
Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki haswa zaidi katika mwaka huu.

Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?

Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.

Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?

Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.

Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?

Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?

View attachment 2664681
Ndiyo tatizo la kulala na njaa lazima uote ndoto za kijinga tu,amka usije kukojoa kitandani.
 
Teh teh,teh
Unateseka ukiwa wapi bloangu?
Nabi is out,
Mayele on the way,you don't want to discuss about those issues,
You are so obsessed with Simba
Kwann uchukie Nabi na Mayele kwenda nje ya Yanga kutafuta maslahi?

Mpira ni kazi yao.

Ni jambo jema kutafuta kilicho bora.
 
Simba haina mvuto au wewe ndio hauna?ili ujue Simba ina mvuto kiasi gani angalia sasa hivi kipindi cha usajiri,simba ikikaa kimya na yanga wanakaa kimya ,simba ikitangaza asubuhi inaachana na mchezaji/wachezaji fulani na yanga jioni inaachana na mchezaji ili tu kuzima trend ya simba sasa utaelewa ni club gani ina set agenda za mpira Tanzania.
Jana mchana simba umetangaza kuachana na wachezaji.

Usiku Yanga wametangaza kuachana na mchezaji.

Je Kwann habari ya THENK YU ya Yanga ndio inayo trend mpaka siku ya leo kuliko ile ya mchana?

Hiyo ndio hoja yangu kwa lugha nyepesi.
 
Nenda page ya Simba instagram...imegonga 5million followers...club yenu ina ongelewa kwa kuwa ilikua inadanganya uma...kumbe wachezaji wa kikongo walikuwepo kwa mkopo...
Haaata hujaeleweka unaongelea nini.

Mara followers mil 5...

Mara wachezaji wa mkopo....

[emoji23][emoji23]
 
mimi sioni umuhimu wa hawa wasemaji zaiidi ya ujinga tuh,simba ipo na washabiki tatizo mashabiki wake hawawezi kuzungumza kitu kwani wameshausoma mchezo "uwongouwongo mwingi"
Nimezungumzia suala la MVUTO.

Kwanini habarinza upande fulani zinapenddelewa sana na watumiaji wa habari kuliko habari za upande wa pili..?
 
Back
Top Bottom