Kwanini Simba SC Imepoteza Mvuto?

Jana mchana simba umetangaza kuachana na wachezaji.

Usiku Yanga wametangaza kuachana na mchezaji.

Je Kwann habari ya THENK YU ya Yanga ndio inayo trend mpaka siku ya leo kuliko ile ya mchana?

Hiyo ndio hoja yangu kwa lugha nyepesi.
Ni kwa sababu mpaka sasa Simba inaacha wachezaji ambao hawakuwa na impact kwa timu, tena wengine walikuwa nje ya timu kwa mkopo wakati Yanga mpaka sasa inaacha wachezaji ambao walikuwa tegemeo. Ndiyo maana hauoni hata humu mtu akileta nyuzi za hao wachezaji wa Simba wanaoachwa maana siyo "habari" na wanasimba hawapendi kufosi attention za kijinga.

Simba kuna utulivu, upande wa pili kunafukuta moshi, tofauti iko hapo. Kwenye utulivu hakuna kelele.
 
Una maaanisha Yanga wana "upgrade" kikosi chao

wakati Simba wanahangaika "KUREPLACE"..?
 
Una maaanisha Yanga wana "upgrade" kikosi chao

wakati Simba wanahangaika "KUREPLACE"..?
Hilo unasema wewe, hoja yako si unauliza kwa nini habari fulani zinatrend kuliko zingine? Unataka habari ya kuachwa kwa Nelson Okwa iwe na uzito sawa na kuachwa kwa Morrison? Mbona ya Ambundo haikutrend?

Na unaposema Simba wanahangaika "kureplace", kwani Morrison au Kisinda walivyoondoka nafasi zao hazitakuwa "replaced"?

Usianze kukimbia hoja yako.
 
Nimezungumzia suala la MVUTO.

Kwanini habarinza upande fulani zinapenddelewa sana na watumiaji wa habari kuliko habari za upande wa pili..?
huo mvuto utatoka wapi? kama unazungumzia mvuto wa vijiweni sawa.. wanaofuatilia soka vizuri wala hawana muda na simba na yanga
soka la kisasa halihitaji kuajiri watu wa porojo hiyo kazi inaweza kufanywa na wachambuzi ni aibu sana kwa vilabu vikongwe kutokua na viwanja na academy zinazoeleweka kazi kupiga porojo tuh.
 
Umetumia kipimo gani,na kwanini msubiri simba afanye jambo na nyinyi mfanye!hamna ubunifu?
 
Sijui utaweza maana ya interraction.

Anyway ngoja niiache tu hapa kama utapata ugumu wa tafsiri utawauliza wenzako.View attachment 2664803
Hizi data ni kutokana na single special event.

Takwimu za daily interaction ni trending ya tukio haziwezi kusimama kama fact ya kuonesha ukubwa wa timu kwenye kufuatiliwa.

Na ndio maana unaona Simba ishawahi kuwa namba 1 juu ya Al Ahly




Nyie mlivuma mkapata namba za wafuatiliaji kutokana na matukio kadhaa

Ile Parade yenu ilienda Viral ikafanya m-trend mtandaoni

Kufika kwenu fainali na kutoa top score kuliwapa mirage ya kuweza kufuatiliwa.

Lakini baada ya hayo matukio mtarudi kwenye namba zenu zile zile ambazo mnazipata kupitia followers wenu mlionao.

Labda itokee tena tukio kubwa ambalo litawa bust.

Vinginevyo Club yenye followers wengi ndio inayofuatilia sana ukiachana na madusko ya matukio ya misimu kwa misimu.
 
Nakuongelewa kote page yenu ni dhoofu inhali..
Haaata hujaeleweka unaongelea nini.

Mara followers mil 5...

Mara wachezaji wa mkopo....

[emoji23][emoji23]
Ila umeelewa sema tuu hujisikii...
 
Jibu zuri
 
Nenda page ya Simba instagram...imegonga 5million followers...club yenu ina ongelewa kwa kuwa ilikua inadanganya uma...kumbe wachezaji wa kikongo walikuwepo kwa mkopo...
Pamoja na kuwa na Followers Mil 5 ila habari zao zikipostiwa hata likes 5000 hazifiki. Hao followers wa nini?
Mleta mada amesema Social attention au hujamuelewa?
 
Pamoja na kuwa na Followers Mil 5 ila habari zao zikipostiwa hata likes 5000 hazifiki. Hao followers wa nini?
Mleta mada amesema Social attention au hujamuelewa?
Social attention umezionaje/umezipimaje ikiwa mada zinawasilishwa kwa njia ya redio au Tv? Unajuaje kama mm ninasikiliza hzo habari zinazoongelewa au wangapi wanasikiliza?...kuhusu Simba kuwa na followers hao milioni 5 ni attention waliyonayo hao mafollowers kwa Timu...
 
Kwa hiyo wewe unatamani Sinba irudishe mvuto wake kuliko Yanga?
 
Likes, comments nk
 

Ndio maanaa nika quote

"Sijui kama utaweza kuelewa maaana ya interaction"

Nafahamu vizuri vichwa vyenu namna vilivyo vitupu.
hewaaa umefika patamu sasa.
video hiyo hapo,,πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Yanga ina mvuto ila inarusha matangazo yake ya mkutano kwa 480p, siyo hata HD
 
Ni Bora kuishabikia Mashujaa kuliko Simba iliyojifia

Hamna kitu tena hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…