SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Ni kwa sababu mpaka sasa Simba inaacha wachezaji ambao hawakuwa na impact kwa timu, tena wengine walikuwa nje ya timu kwa mkopo wakati Yanga mpaka sasa inaacha wachezaji ambao walikuwa tegemeo. Ndiyo maana hauoni hata humu mtu akileta nyuzi za hao wachezaji wa Simba wanaoachwa maana siyo "habari" na wanasimba hawapendi kufosi attention za kijinga.Jana mchana simba umetangaza kuachana na wachezaji.
Usiku Yanga wametangaza kuachana na mchezaji.
Je Kwann habari ya THENK YU ya Yanga ndio inayo trend mpaka siku ya leo kuliko ile ya mchana?
Hiyo ndio hoja yangu kwa lugha nyepesi.
Simba kuna utulivu, upande wa pili kunafukuta moshi, tofauti iko hapo. Kwenye utulivu hakuna kelele.