ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Senzo yupo Yanga? ana cheo ganiNafasi ya barbra ni kama alivyo cenzo huko utopolo hyo nafasi ya msola yupo mangungu ambaye Kachaguliwa km alivyochaguliwa msola ukitaka kujua simba sc Barbra kapatikana vp kawaulize utopolo wenzio cenzo kapatikana vp
Kwa hiyo cheo cha CEO kimetoka wapi ndani ya klabu yenu? Hivi Mo ni nani pale?inasikitisha sana ulivyo na akili finyu? unajua kwamba cheo cha CEO ndicho zamani kilikuwa kinaitwa katibu? kwani katibu wa yanga alichaguliwa na nani? unajua katibu(CEO) analipwa mshahara? hujui simba ina mwenyekiti anaitwa mangungu?
unaongelea mfumo hata hujui unachokiongea, nyie subirini kupokea mitambo ya magoli airport ligi ianze muanze kupoteana, mwezi wa 9 huko CAF muanze kuchezea vipigo muanze kulaumu TFf na karia
washazunguka sana kwenye media kufafanua hili suala kina magori sidhani hata kama kuna haja ya kuliongelea tena tuwaachie makanjanja wafanye wanavyotaka maana huu ni ujinga sasaKwa hiyo cheo cha CEO kimetoka wapi ndani ya klabu yenu? Hivi Mo ni nani pale?
TOFAUTI KATI YA MFUMO WA YANGA NA SIMBA KATIKA UTARATIBU WA UWEKEZAJI.
Kuna tofauti ya mfumo wa uwekezaji wa Simba na ule wanao taka kuutumia Yanga. Pengine wale waliokuwa wanapinga utaratibu wa Simba yawezekana hawakupewa semina ili waelewe mfumo wa Simba, au walielewa lakini hawakuridhika.
Baadhi ya tofauti zilizopo katika uwekezaji wa Simba na Yanga ni hizi zifutazo.
i) Katika mfumo wa uwekezaji wa Simba, Mwekezaji anapewa timu hata kabla ya kununua hisa. Mfano Mo anaendesha shughuli za timu lakini hakuwahi kulipia hisa zake 49% ambazo ni tshs 20 bil kwa wenye timu yao ambao ni wanasimba na Mo ni mwekezaji pekee katika uwekezaji wa Simba.
Yanga baada ya kubadili Katiba, wataanzisha kampuni ,kampuni hiyo itakua ya Yanga kwa 100%, baada ya hapo watauza hisa 49% kwa wawekezaji 3 au wasio zidi 4, wawekezaji maximum watakua 4 na minimum watakua 3. Na mwekezaji atapewa cheti cha uwekezaji baada ya kulipia hisa zake (Hakuna mali kauli au mkopo)
2) Katika Simba,ili kupata thamani ya "Simba, tathmini, ilizingatia mali zote za klabu ya Simba yakiwemo majengo nk. ndio maana akina Mzee Kilomoni walikua wanalalamika, kwanini Mo apewe haki ya kumiliki majengo na viwanja vya Simba, wakati hajalipia hata hela ya hisa? Ndio maana uwanja wa Bunju ukaitwa Mo Arena. Ule uwanja ni wa SSC sio wa mwekezaji, mwekezaji ameukuta.
Katika kutafuta thamani ya klabu ya Yanga, tathmini inafanyika kwa kuangalia fan base, kuangalia nembo ya Yanga, yaani mtaji wa Yanga ni mashabiki, wapenzi na wanachama. Vitu kama majengo viwanja nk vinabakia mali ya Yanga FC ,havihusiki katika Kampuni.
3) Uwekezaji ndani ya Simba ,yule mwenye hisa ndogo ndiye mwenye mamlaka, yaani ndiye Mwenyekiti wa Bodi , lakini katika uwekezaji wa Yanga Mwenyekiti wa Bodi atatokana na yule mwenye hisa kubwa.
Hizo ni baadhi ya tofauti katika mifumo ya uwekezaji wa klabu hizo mbili.
NB; Yawezekana wanahabari walikua hawapingi Mo kuwekeza katika Simba,bali walikua hawana uelewa mfumo wa uwekezaji ndani ya Simba unavyo fanya kazi.Kwakua mchakato haukua shirikishi na hadi sasa bado wengi hawaelewi ,inakua vipi mtu anakua Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ambayo hana hisa? Hana hisa kwa maana hajalipia hisa kwa kuwalipa wenye timu tshs 20 bil.
Inakua vipi mqekezaji awe na haki kwenye assets za Simba kama majengo na viwanja wakati kwanza amevikuta pale,pili hajalipia hisa kwa wenye klabu yao!
Maswali yataendelea kuulizwa kwa pande zote zinazo fanya mabadiliko kwakua hii ni mifumo mipya na hizi klabu zinamilikiwa na wananchi.
Angalia Azam, hakuna maneno maneno kwakua klabu ni yao, haikubadilishwa kutoka kuwa ya wananchi na kuwa ya wawekezaji.
Being a female isiwe sababu ya kutokuwa na weledi...Manara ni mshenzi..
Anataka hadi kudhalilisha female sports reporters
Iliyokuwa Yanga SC ya Manji na Katibu Mkuu wake Kipindi kile Mwesiga huku Jamal Malinzi nae akiwa ndiyo Rais wa TFF ilifanikiwa sana Kuwateka na Kuwamiliki Waandishi ( Watangazaji ) wengi wa Habari za Michezo nchini Tanzania kwa Ahadi ya kuwa wanawapa Pesa Kuipamba Yanga SC na Kuiminya Simba SC hivyo wengine ( kama huyo Prisca Kishamba ) anatumika 'Kimafia' na GSM pamoja na Yanga SC katika 'Kuifitini:sha' Simba SC akiwa na Pacha na Mnafiki Mwenzake Maulid Kitenge wa Wasafi Media.Leo Haji S. Manara amethibitisha hili lakini nimebaki najiuliza maswali kwa nini iwe hivyo?
Ni kweli mchakato wa mabadiliko wa simba ulikumbana na vikwazo vingi sana kutoka kwa wachambuzi na baada ya FCC kuleta hoja zake wachambuzi wakaishupalia sana! leo hii hakuna hata mmoja aliekosoa mchakato wa yanga bali ni kusifia!
Inawezekana hawa wachambuzi ndiyo kaburi la Yanga kwa sifia sifia yao kumbe wanapotoshwa.
Walau nimepata jambo hapo. Kwa clouds huwa sijisumbui khs Simba hawanaga zuri hata moja na ni bahati mbaya kwao maana mafanikio ya Simba yanawalazimisha kuisifia. Lakini bado Haji angeweza kummudu kistaarabu na kumsaga kiufundi huku akicheka kuliko kufura namna ile.Iliyokuwa Yanga SC ya Manji na Katibu Mkuu wake Kipindi kile Mwesiga huku Jamal Malinzi nae akiwa ndiyo Rais wa TFF ilifanikiwa sana Kuwateka na Kuwamiliki Waandishi ( Watangazaji ) wengi wa Habari za Michezo nchini Tanzania kwa Ahadi ya kuwa wanawapa Pesa Kuipamba Yanga SC na Kuiminya Simba SC hivyo wengine ( kama huyo Prisca Kishamba ) anatumika 'Kimafia' na GSM pamoja na Yanga SC katika 'Kuifitini:sha' Simba SC akiwa na Pacha na Mnafiki Mwenzake Maulid Kitenge wa Wasafi Media.
Mchakato wa Simba haujaisha kisheria. Kinachowasaidia ni kwamba TFF na Viongozi wazito wa serikali wapo upande wao. Mengi yanafumbiwa macho.inasikitisha sana ulivyo na akili finyu? unajua kwamba cheo cha CEO ndicho zamani kilikuwa kinaitwa katibu? kwani katibu wa yanga alichaguliwa na nani? unajua katibu(CEO) analipwa mshahara? hujui simba ina mwenyekiti anaitwa mangungu?
unaongelea mfumo hata hujui unachokiongea, nyie subirini kupokea mitambo ya magoli airport ligi ianze muanze kupoteana, mwezi wa 9 huko CAF muanze kuchezea vipigo muanze kulaumu TFf na karia
Msola na Barbra ni viongozi wa timu wanaoongoza timu mbili zenyewe mifumo miwili tofauti ya kiuongozi usifikilie kilichofanywa juzi 27 Jun kubadili ukumbini basi kila kitu kimebadilika noMchakato wa yanga umenyooka.. kila mwanachama ameshirikishwa.. na ndio maana unachukua muda mrefu...
Ila mchakato wa simba haueleweki ndio maana una utata..
Mfano Yanga bosi mkuu ni msolla na amepata nafasi kwa mchakato wa wazi.. simba bosi mkuu ni babra nafasi kaipata kwa utaratibu gani, haieleweki
Hoja hizi zilianzishwa na upande kinzani na bado inaendelea japo ni hoja mfu na nyepesi SanaTOFAUTI KATI YA MFUMO WA YANGA NA SIMBA KATIKA UTARATIBU WA UWEKEZAJI.
Kuna tofauti ya mfumo wa uwekezaji wa Simba na ule wanao taka kuutumia Yanga. Pengine wale waliokuwa wanapinga utaratibu wa Simba yawezekana hawakupewa semina ili waelewe mfumo wa Simba, au walielewa lakini hawakuridhika.
Baadhi ya tofauti zilizopo katika uwekezaji wa Simba na Yanga ni hizi zifutazo.
i) Katika mfumo wa uwekezaji wa Simba, Mwekezaji anapewa timu hata kabla ya kununua hisa. Mfano Mo anaendesha shughuli za timu lakini hakuwahi kulipia hisa zake 49% ambazo ni tshs 20 bil kwa wenye timu yao ambao ni wanasimba na Mo ni mwekezaji pekee katika uwekezaji wa Simba.
Yanga baada ya kubadili Katiba, wataanzisha kampuni ,kampuni hiyo itakua ya Yanga kwa 100%, baada ya hapo watauza hisa 49% kwa wawekezaji 3 au wasio zidi 4, wawekezaji maximum watakua 4 na minimum watakua 3. Na mwekezaji atapewa cheti cha uwekezaji baada ya kulipia hisa zake (Hakuna mali kauli au mkopo)
2) Katika Simba,ili kupata thamani ya "Simba, tathmini, ilizingatia mali zote za klabu ya Simba yakiwemo majengo nk. ndio maana akina Mzee Kilomoni walikua wanalalamika, kwanini Mo apewe haki ya kumiliki majengo na viwanja vya Simba, wakati hajalipia hata hela ya hisa? Ndio maana uwanja wa Bunju ukaitwa Mo Arena. Ule uwanja ni wa SSC sio wa mwekezaji, mwekezaji ameukuta.
Katika kutafuta thamani ya klabu ya Yanga, tathmini inafanyika kwa kuangalia fan base, kuangalia nembo ya Yanga, yaani mtaji wa Yanga ni mashabiki, wapenzi na wanachama. Vitu kama majengo viwanja nk vinabakia mali ya Yanga FC ,havihusiki katika Kampuni.
3) Uwekezaji ndani ya Simba ,yule mwenye hisa ndogo ndiye mwenye mamlaka, yaani ndiye Mwenyekiti wa Bodi , lakini katika uwekezaji wa Yanga Mwenyekiti wa Bodi atatokana na yule mwenye hisa kubwa.
Hizo ni baadhi ya tofauti katika mifumo ya uwekezaji wa klabu hizo mbili.
NB; Yawezekana wanahabari walikua hawapingi Mo kuwekeza katika Simba,bali walikua hawana uelewa mfumo wa uwekezaji ndani ya Simba unavyo fanya kazi.Kwakua mchakato haukua shirikishi na hadi sasa bado wengi hawaelewi ,inakua vipi mtu anakua Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ambayo hana hisa? Hana hisa kwa maana hajalipia hisa kwa kuwalipa wenye timu tshs 20 bil.
Inakua vipi mqekezaji awe na haki kwenye assets za Simba kama majengo na viwanja wakati kwanza amevikuta pale,pili hajalipia hisa kwa wenye klabu yao!
Maswali yataendelea kuulizwa kwa pande zote zinazo fanya mabadiliko kwakua hii ni mifumo mipya na hizi klabu zinamilikiwa na wananchi.
Angalia Azam, hakuna maneno maneno kwakua klabu ni yao, haikubadilishwa kutoka kuwa ya wananchi na kuwa ya wawekezaji.
Mie simba ila manara hapana, ana chuki binafsi na watu na anajivunia kinga aliyo nayo maana ukimuweka kwenye kona tu unaambiwa mbaguzi...Leo Haji S. Manara amethibitisha hili lakini nimebaki najiuliza maswali kwa nini iwe hivyo?
Ni kweli mchakato wa mabadiliko wa simba ulikumbana na vikwazo vingi sana kutoka kwa wachambuzi na baada ya FCC kuleta hoja zake wachambuzi wakaishupalia sana! leo hii hakuna hata mmoja aliekosoa mchakato wa yanga bali ni kusifia!
Inawezekana hawa wachambuzi ndiyo kaburi la Yanga kwa sifia sifia yao kumbe wanapotoshwa.
Haya mavi mabichi tena ya mtu mzima...TOFAUTI KATI YA MFUMO WA YANGA NA SIMBA KATIKA UTARATIBU WA UWEKEZAJI.
Kuna tofauti ya mfumo wa uwekezaji wa Simba na ule wanao taka kuutumia Yanga. Pengine wale waliokuwa wanapinga utaratibu wa Simba yawezekana hawakupewa semina ili waelewe mfumo wa Simba, au walielewa lakini hawakuridhika.
Baadhi ya tofauti zilizopo katika uwekezaji wa Simba na Yanga ni hizi zifutazo.
i) Katika mfumo wa uwekezaji wa Simba, Mwekezaji anapewa timu hata kabla ya kununua hisa. Mfano Mo anaendesha shughuli za timu lakini hakuwahi kulipia hisa zake 49% ambazo ni tshs 20 bil kwa wenye timu yao ambao ni wanasimba na Mo ni mwekezaji pekee katika uwekezaji wa Simba.
Yanga baada ya kubadili Katiba, wataanzisha kampuni ,kampuni hiyo itakua ya Yanga kwa 100%, baada ya hapo watauza hisa 49% kwa wawekezaji 3 au wasio zidi 4, wawekezaji maximum watakua 4 na minimum watakua 3. Na mwekezaji atapewa cheti cha uwekezaji baada ya kulipia hisa zake (Hakuna mali kauli au mkopo)
2) Katika Simba,ili kupata thamani ya "Simba, tathmini, ilizingatia mali zote za klabu ya Simba yakiwemo majengo nk. ndio maana akina Mzee Kilomoni walikua wanalalamika, kwanini Mo apewe haki ya kumiliki majengo na viwanja vya Simba, wakati hajalipia hata hela ya hisa? Ndio maana uwanja wa Bunju ukaitwa Mo Arena. Ule uwanja ni wa SSC sio wa mwekezaji, mwekezaji ameukuta.
Katika kutafuta thamani ya klabu ya Yanga, tathmini inafanyika kwa kuangalia fan base, kuangalia nembo ya Yanga, yaani mtaji wa Yanga ni mashabiki, wapenzi na wanachama. Vitu kama majengo viwanja nk vinabakia mali ya Yanga FC ,havihusiki katika Kampuni.
3) Uwekezaji ndani ya Simba ,yule mwenye hisa ndogo ndiye mwenye mamlaka, yaani ndiye Mwenyekiti wa Bodi , lakini katika uwekezaji wa Yanga Mwenyekiti wa Bodi atatokana na yule mwenye hisa kubwa.
Hizo ni baadhi ya tofauti katika mifumo ya uwekezaji wa klabu hizo mbili.
NB; Yawezekana wanahabari walikua hawapingi Mo kuwekeza katika Simba,bali walikua hawana uelewa mfumo wa uwekezaji ndani ya Simba unavyo fanya kazi.Kwakua mchakato haukua shirikishi na hadi sasa bado wengi hawaelewi ,inakua vipi mtu anakua Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ambayo hana hisa? Hana hisa kwa maana hajalipia hisa kwa kuwalipa wenye timu tshs 20 bil.
Inakua vipi mqekezaji awe na haki kwenye assets za Simba kama majengo na viwanja wakati kwanza amevikuta pale,pili hajalipia hisa kwa wenye klabu yao!
Maswali yataendelea kuulizwa kwa pande zote zinazo fanya mabadiliko kwakua hii ni mifumo mipya na hizi klabu zinamilikiwa na wananchi.
Angalia Azam, hakuna maneno maneno kwakua klabu ni yao, haikubadilishwa kutoka kuwa ya wananchi na kuwa ya wawekezaji.
Huna unachoelewa mkuu,,Mimi ni mwana simba ila alichoongea Manara anastahili kuomba radhi
Hao waandishi na wachambuzi uchwara wanazuzuka na bahasha za wakwepa kodi HSC.Leo Haji S. Manara amethibitisha hili lakini nimebaki najiuliza maswali kwa nini iwe hivyo?
Ni kweli mchakato wa mabadiliko wa simba ulikumbana na vikwazo vingi sana kutoka kwa wachambuzi na baada ya FCC kuleta hoja zake wachambuzi wakaishupalia sana! leo hii hakuna hata mmoja aliekosoa mchakato wa yanga bali ni kusifia!
Inawezekana hawa wachambuzi ndiyo kaburi la Yanga kwa sifia sifia yao kumbe wanapotoshwa.
Vipi na yeye akishambuliwa? Si mtakimbilia kumtetea kwa kigezo cha ulemavu wake? Haya masuala ya unazi wa waandishi na watangazaji wa vyombo vya habari kwa timu yameanza leo? Mbona Shafii Dauda, Juma Nkamia, Enock Bwigane, na wengineo wengi! Ni Simba damu!Huna unachoelewa mkuu,,
Kuna vita kubwa sana inaendelea chini kwa chini na hawa wachambuzi uchwara machawa wa giesiemu.
Wakija kwenye sportlight wanajifanya so innocent wapate huruma ya watu huko nyuma wanafanya vurugu nyingi kuijujum simba.
Uspotizama kwa makini utaona haji anawaonea ila wafuatulie kwa makini utagundua hawa wat wanatakiwa ku deal nao perpendicular kbsa wajue tunawajua.
Wat kama privadilnho,yusuph mkule,kitenge,edger kibwana,prisca kishamba,abdul dunia,musa mwakisu.
Alaf kuna gift macha na shaffih dauda hawa jamaa wao n simba ila wana matatzo yao binafsi na manala .
Hiko kikundi chote apo juu wanakula hela giesimu kwa kazi moja t propaganda dhidi ya simba.
Na sisi wana simba kindaki ndaki tulobobea kwenye footbal fitna tunawajua ndo maana hatpat nao shida.
Acha manala awanyooshe.
hawaichukii Simba wanamchukia manara kwa sababu ana akili kubwa na hawamuwezi kila siku ana wa outshine.Leo Haji S. Manara amethibitisha hili lakini nimebaki najiuliza maswali kwa nini iwe hivyo?