Kwanini Simba SC inachukiwa na waandishi /wachambuzi?

Kwanini Simba SC inachukiwa na waandishi /wachambuzi?

Vipi na yeye akishambuliwa? Si mtakimbilia kumtetea kwa kigezo cha ulemavu wake? Haya masuala ya unazi wa waandishi na watangazaji wa vyombo vya habari kwa timu yameanza leo? Mbona Shafii Dauda, Juma Nkamia, Enock Bwigane, na wengineo wengi! Ni Simba damu!

Lini walitukanwa na kukejeliwa na Wasemaji wa Yanga? Imekuwa dhambi kwa mtu wa kizazi cha miaka ya 80 na 90 kuwa mpenzi wa Yanga au Simba, huku tukiwa tunaujua ukweli, ya kwamba lilikuwa ni jambo la kawaida kabisa kwa watu wa kizazi hicho wengi wao kuegemea upande mmoja wapo kati ya hizi mbili?

Mshaurini Msemaji wenu awe na busara na hekima. Dharau na majivuno vimemjaa kiasi cha kutushangaza wadau wengi wa michezo. Na atambue kuna maisha nje ya Simba! Hivyo aache tabia zake za kitoto. Na kama sababu ni huo ualbino wake, basi ni vyema akatafuta shughuli nyingine za kufanya, badala ya kufanya ule utoto wake kwa watu wazima wenzake na ambao hana msaada wowote ule kwao.

BINAFSI SIJAWAHI KUONA MSEMAJI WA TIMU MWENYE DOMO LINALONUKA KWA MANENO MACHAFU NA ya KEJELI KAMA HILO MBULUKENGE LENU HAJI MANARA.
Sifagilii hii staili ya Haji ya kutokujibu hoja badala yake anatoa povu,ila ukumbuke enzi za Jerry Muro,naye alikuwa anakera mpaka kuvuka mipaka ya uanamichezo.
 
hawaichukii Simba wanamchukia manara kwa sababu ana akili kubwa na hawamuwezi kila siku ana wa outshine.

ni kama PUtin anavyowafanya waandishi wa Marekani na UK
Kusema Manara ana akili za ku wa outshine watu ni kuwakosea Watanzania heshma labda Kama neno outshine Lina maana nyingine.
 
Vipi na yeye akishambuliwa? Si mtakimbilia kumtetea kwa kigezo cha ulemavu wake? Haya masuala ya unazi wa waandishi na watangazaji wa vyombo vya habari kwa timu yameanza leo? Mbona Shafii Dauda, Juma Nkamia, Enock Bwigane, na wengineo wengi! Ni Simba damu!

Lini walitukanwa na kukejeliwa na Wasemaji wa Yanga? Imekuwa dhambi kwa mtu wa kizazi cha miaka ya 80 na 90 kuwa mpenzi wa Yanga au Simba, huku tukiwa tunaujua ukweli, ya kwamba lilikuwa ni jambo la kawaida kabisa kwa watu wa kizazi hicho wengi wao kuegemea upande mmoja wapo kati ya hizi mbili?

Mshaurini Msemaji wenu awe na busara na hekima. Dharau na majivuno vimemjaa kiasi cha kutushangaza wadau wengi wa michezo. Na atambue kuna maisha nje ya Simba! Hivyo aache tabia zake za kitoto. Na kama sababu ni huo ualbino wake, basi ni vyema akatafuta shughuli nyingine za kufanya, badala ya kufanya ule utoto wake kwa watu wazima wenzake na ambao hana msaada wowote ule kwao.

Binafsi sijawahi kuona msemaji wa timu mwenye domo linalonuka kwa maneno machafu na ya kejeli kama hilo Mbulukenge lenu Haji Manara.
Mkuu hakuna busara kwa watu wanafki kama hao.
Mtu anakutangazia amani huku kaficha panga..
Vitu vikisha back fire wanatafuta huruma ya umma.
Sisi hao watu tunajua kila wanalolifanya mkuu kila hatua tunajua.
Ndo maana wakija na maswali yao yakinafki tushamwambia manala wawashie moto t popote pale alaf wajaribu kufanya lolote lile ndo watajua kua simba ina watu pia,
Tuko kimya sbbu team yetu iko vizuri na tuko sawa ila sio kua hatujui yanayoendelea.
Vipi na yeye akishambuliwa? Si mtakimbilia kumtetea kwa kigezo cha ulemavu wake? Haya masuala ya unazi wa waandishi na watangazaji wa vyombo vya habari kwa timu yameanza leo? Mbona Shafii Dauda, Juma Nkamia, Enock Bwigane, na wengineo wengi! Ni Simba damu!

Lini walitukanwa na kukejeliwa na Wasemaji wa Yanga? Imekuwa dhambi kwa mtu wa kizazi cha miaka ya 80 na 90 kuwa mpenzi wa Yanga au Simba, huku tukiwa tunaujua ukweli, ya kwamba lilikuwa ni jambo la kawaida kabisa kwa watu wa kizazi hicho wengi wao kuegemea upande mmoja wapo kati ya hizi mbili?

Mshaurini Msemaji wenu awe na busara na hekima. Dharau na majivuno vimemjaa kiasi cha kutushangaza wadau wengi wa michezo. Na atambue kuna maisha nje ya Simba! Hivyo aache tabia zake za kitoto. Na kama sababu ni huo ualbino wake, basi ni vyema akatafuta shughuli nyingine za kufanya, badala ya kufanya ule utoto wake kwa watu wazima wenzake na ambao hana msaada wowote ule kwao.

Binafsi sijawahi kuona msemaji wa timu mwenye domo linalonuka kwa maneno machafu na ya kejeli kama hilo Mbulukenge lenu Haji Manara.
 
TOFAUTI KATI YA MFUMO WA YANGA NA SIMBA KATIKA UTARATIBU WA UWEKEZAJI.

Kuna tofauti ya mfumo wa uwekezaji wa Simba na ule wanao taka kuutumia Yanga. Pengine wale waliokuwa wanapinga utaratibu wa Simba yawezekana hawakupewa semina ili waelewe mfumo wa Simba, au walielewa lakini hawakuridhika.

Baadhi ya tofauti zilizopo katika uwekezaji wa Simba na Yanga ni hizi zifutazo.

i) Katika mfumo wa uwekezaji wa Simba, Mwekezaji anapewa timu hata kabla ya kununua hisa. Mfano Mo anaendesha shughuli za timu lakini hakuwahi kulipia hisa zake 49% ambazo ni tshs 20 bil kwa wenye timu yao ambao ni wanasimba na Mo ni mwekezaji pekee katika uwekezaji wa Simba.

Yanga baada ya kubadili Katiba, wataanzisha kampuni ,kampuni hiyo itakua ya Yanga kwa 100%, baada ya hapo watauza hisa 49% kwa wawekezaji 3 au wasio zidi 4, wawekezaji maximum watakua 4 na minimum watakua 3. Na mwekezaji atapewa cheti cha uwekezaji baada ya kulipia hisa zake (Hakuna mali kauli au mkopo)

2) Katika Simba,ili kupata thamani ya "Simba, tathmini, ilizingatia mali zote za klabu ya Simba yakiwemo majengo nk. ndio maana akina Mzee Kilomoni walikua wanalalamika, kwanini Mo apewe haki ya kumiliki majengo na viwanja vya Simba, wakati hajalipia hata hela ya hisa? Ndio maana uwanja wa Bunju ukaitwa Mo Arena. Ule uwanja ni wa SSC sio wa mwekezaji, mwekezaji ameukuta.

Katika kutafuta thamani ya klabu ya Yanga, tathmini inafanyika kwa kuangalia fan base, kuangalia nembo ya Yanga, yaani mtaji wa Yanga ni mashabiki, wapenzi na wanachama. Vitu kama majengo viwanja nk vinabakia mali ya Yanga FC ,havihusiki katika Kampuni.

3) Uwekezaji ndani ya Simba ,yule mwenye hisa ndogo ndiye mwenye mamlaka, yaani ndiye Mwenyekiti wa Bodi , lakini katika uwekezaji wa Yanga Mwenyekiti wa Bodi atatokana na yule mwenye hisa kubwa.

Hizo ni baadhi ya tofauti katika mifumo ya uwekezaji wa klabu hizo mbili.

NB; Yawezekana wanahabari walikua hawapingi Mo kuwekeza katika Simba,bali walikua hawana uelewa mfumo wa uwekezaji ndani ya Simba unavyo fanya kazi.Kwakua mchakato haukua shirikishi na hadi sasa bado wengi hawaelewi ,inakua vipi mtu anakua Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ambayo hana hisa? Hana hisa kwa maana hajalipia hisa kwa kuwalipa wenye timu tshs 20 bil.

Inakua vipi mqekezaji awe na haki kwenye assets za Simba kama majengo na viwanja wakati kwanza amevikuta pale,pili hajalipia hisa kwa wenye klabu yao!

Maswali yataendelea kuulizwa kwa pande zote zinazo fanya mabadiliko kwakua hii ni mifumo mipya na hizi klabu zinamilikiwa na wananchi.

Angalia Azam, hakuna maneno maneno kwakua klabu ni yao, haikubadilishwa kutoka kuwa ya wananchi na kuwa ya wawekezaji.
Nimekuelewa sana. Mungu akubariki
Asante
 
Leo Haji S. Manara amethibitisha hili lakini nimebaki najiuliza maswali kwa nini iwe hivyo?

Ni kweli mchakato wa mabadiliko wa simba ulikumbana na vikwazo vingi sana kutoka kwa wachambuzi na baada ya FCC kuleta hoja zake wachambuzi wakaishupalia sana! leo hii hakuna hata mmoja aliekosoa mchakato wa yanga bali ni kusifia!

Inawezekana hawa wachambuzi ndiyo kaburi la Yanga kwa sifia sifia yao kumbe wanapotoshwa.
Tajiri huwa hapendwi na vinyangarakata.Wanapenda hela zake tu.😝😝😝😝😝
 
Kitu bora siku zote hakipendwi, Simba ni bora afrika nzima wanaijua Simba ni bora kinachowasumbua yanga ni wivu
 
Back
Top Bottom