Kwanini Simba SC inachukiwa na waandishi /wachambuzi?

Sifagilii hii staili ya Haji ya kutokujibu hoja badala yake anatoa povu,ila ukumbuke enzi za Jerry Muro,naye alikuwa anakera mpaka kuvuka mipaka ya uanamichezo.
 
hawaichukii Simba wanamchukia manara kwa sababu ana akili kubwa na hawamuwezi kila siku ana wa outshine.

ni kama PUtin anavyowafanya waandishi wa Marekani na UK
Kusema Manara ana akili za ku wa outshine watu ni kuwakosea Watanzania heshma labda Kama neno outshine Lina maana nyingine.
 
Mkuu hakuna busara kwa watu wanafki kama hao.
Mtu anakutangazia amani huku kaficha panga..
Vitu vikisha back fire wanatafuta huruma ya umma.
Sisi hao watu tunajua kila wanalolifanya mkuu kila hatua tunajua.
Ndo maana wakija na maswali yao yakinafki tushamwambia manala wawashie moto t popote pale alaf wajaribu kufanya lolote lile ndo watajua kua simba ina watu pia,
Tuko kimya sbbu team yetu iko vizuri na tuko sawa ila sio kua hatujui yanayoendelea.
 
Nimekuelewa sana. Mungu akubariki
Asante
 
Tajiri huwa hapendwi na vinyangarakata.Wanapenda hela zake tu.😝😝😝😝😝
 
Kitu bora siku zote hakipendwi, Simba ni bora afrika nzima wanaijua Simba ni bora kinachowasumbua yanga ni wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…