Kwanini Simba wamegoma kutii wito wa bosi wao kutoka ACA Eng Hersi?

Azam mbona walikuwepo? Simba walishindwa nini?

Apewe mualiko yeye kama naninspecial hapa Tanzania?
Kama unalijua lengo la ACA huna haja ya kuuliza maswali haya tayari yana majibu yake
Sasa kama sio special kinakupigisha kelele ni nini?Mbona hujiulizi Singida Big Stars au Coastal Union?Kiherehere chako ni Simba tu ?
Popat ni gongowazi mwenzako ndio maana amejipeleka na Azam wameshatangaza kumtema.
 
Umeanza vizuri ila hapa umedhihirisha utoto mkuu kama wengine tu

Azam kumtema inahusiana nini na jambo hili? Asipotemwa wewe utaficha wapi sura yako??
 
ACA Haina mwanachama kwa Sasa ndio kwanza wanaanza usajiri.
CURRENT AFRICAN CLUB ASSOCIATION BOARD MEMBERS
Hersi Said (Young Africans, Tanzania) – Chairman

Jessica Motaung (Kaizer Chiefs, South Africa) – Vice Chairperson

Paul Bassey (Akwa United, Nigeria) – Vice Chairperson

CECAFA

Hersi Said (Young Africans, Tanzania)

Hassan Ali Eissa (Al Hilal, Sudan)

COSAFA

Jessica Motaung (Kaizer Chiefs, South Africa)

Salomo Hei (African Stars, Namibia)

UNAF

Khaled Mortagy (Al Ahly, Egypt)

Adil Halla (former Raja Casablanca, Morocco)

UNIFFAC

Ravel Mondjo Mbouloungou (CS de Bendje, Gabon)

Guy Kapya Kilongozi (AS Maniema Union, DR Congo)

WAFU A

Rodney Edmond Michael (Mighty Blackpool FC, Sierra Leone)

Famakan Dembele (AS Real Bamako, Mali)

WAFU B

Ayibatin Wilfrido (AS Loto FC, Benin)
Paul Bassey (Akwa United, Nigeria)

Mchawi sio lazima upae na ungo mkuu

Hawa ni vinyago au nani?

Umeumbuka
 
Umeanza vizuri ila hapa umedhihirisha utoto mkuu kama wengine tu

Azam kumtema inahusiana nini na jambo hili? Asipotemwa wewe utaficha wapi sura yako??
Nafasi yake imeshatangazwa wewe zwazwa. Ametemwa kwa ugongowazi endelea kujidanganya.
Simba wameacha kwenda kama imekuuma kanunue kamba kwa mangi ujinyonge.
Ujinga ni madhara makubwa.Uko obsessed na Simba nadhani ni madhara ya mimba changa.
 
Ficha ujinga hiyo ni kamati sio wanachama.Wanachama wanakuwa ni vilabu.Shule ulienda kusomea ujinga?Huoni juu imeandikwa Board Members?Au una copy na ku paste bila hata kujua unacopy na kupaste nini?
 
Nafasi yake imeshatangazwa wewe zwazwa. Ametemwa kwa ugongowazi endelea
Popat bado ni CEO wa azam fc hakuna popote kwenye page yao wametangaza amefukuzwa ila umbea wako unaosimuliana na mkeo huko ndani

Na juzi alikuwepo kuiwakilisha azam kwenye mkutano ule kama utaki kunywa sumu ufe..

Niko hapa kukuelimisha wewe uliyekuwa maji ya bendera inawezekana umenizidi umri lakini pia umenizidi upumbavu
 
Sisi kama Simba Sports Club hatuhusu kwa vile siyo kiongozi wetu. Hierarchy ya uongozi iko ifuatavyo;-

Tanzania- Wallace Karia
Africa- Patrice Motsepe
Dunia- Gianni Infantino
PERIOD

Huo uongozi wa Hersi ni kama chama cha Vikoba mtaani
 
Ficha ujinga hiyo ni kamati sio wanachama.Wanachama wanakuwa ni vilabu.Shule ulienda kusomea ujinga?Huoni juu imeandikwa Board Members?Au una copy na ku paste bila hata kujua unacopy na kupaste nini?
Jamaa upo shallow sana🤣🤣

Hao ni board members na zaidi team zao wamezisajili ACA sasa sijui unabisha nini???🤣🤣 fatilia mambo

Ila kwa huku Tanzania team ndio baso hazijajisajili bado hivi wewe unanizidi elimu gani sasa?? Labda ya uchawi🤣

Kafatilie mambo ujue sio unakurupuka tu
 
Sisi kama Simba Sports Club hatuhusu kwa vile siyo kiongozi wetu. Hierarchy ya uongozi iko ifuatavyo;-

Tanzania- Wallace Karia
Africa- Patrice Motsepe
Dunia- Gianni Infantino
PERIOD

Huo uongozi wa Hersi ni kama chama cha Vikoba mtaani
Kwanini mnamchukia???
 
Ficha ujinga hiyo ni kamati sio wanachama.Wanachama wanakuwa ni vilabu.Shule ulienda kusomea ujinga?Huoni juu imeandikwa Board Members?Au una copy na ku paste bila hata kujua unacopy na kupaste nini?
The African Club Association (ACA) was launched in November 2023 with over 300 clubs as members. Representatives from various leagues and clubs across the continent are involved in the leadership, with members including Young Africans (Tanzania), Kaizer Chiefs (South Africa), Al Ahly (Egypt), and Akwa United (Nigeria).

Examples of clubs with representation in the ACA

Young Africans (Tanzania): Represented by ACA Chairman Hersi Said.
Al Ahly (Egypt): Represented by Khaled Mortagy.
Kaizer Chiefs (South Africa): Represented by Jessica Motaung, the ACA First Vice-Chairperson.
Akwa United (Nigeria): Represented by Paul Bassey.
Al Hilal (Sudan): Represented by Hassan Ali Eissa.
Mighty Blackpool FC (Sierra Leone): Represented by Rodney Edmond Michael.
AS Loto FC (Benin): Represented by Ayibatin Wilfrido.
AS Maniema Union (DR Congo): Represented by Guy Kapya Kilongozi.
CS de Bendje (Gabon): Represented by Ravel Mondjo Mbouloungou.
AS Real Bamako (Mali): Represented by Famakan Dembele.
African Stars (Namibia): Represented by Salomo Hei.

HUWA WAPUMBAVU HAMJIBIWI KWA UPUMBAVU WENU ILA MAJIBU SAHIHI TU🤣
 
"Ila huku Tanzania team ndio bado hazijasajili"Wapi kwingineko ndio timu zimesajili?Wacha utoto.Huo board tu ndio ipo na wanachama kutoka kwenye vilabu visivyokuwa hivyo kwenye board.
Taja vilabu vingine au na wao utadai hawajafanya usajili?Kama hawajafanya usajili ndio ina maana hawana wanachama.
Mwalimu wako alipata tabu sana kukuelewesha kama kweli ulisoma shule inayopaswa kuitwa shule.Unajua maana ya represented?Ndio walioshiriki kwenye uundwaji wa board.
 
Hivyo vikao vinahudhuriwa na vitimu vidogovidogo ambavyo hapa Afrika havijulikani. Kwahiyo uto na Azam kuhudhuria ilikuwa sahihi
 
Reactions: Tui
Rejea maneno yako hapo juu ulichokuwa unabisha kwamba wao members ni board members pekee ni nini???

Haya hawa hapa members ambao hawapo kwenye board una lingine?

Examples of clubs with representation in the ACA

Young Africans (Tanzania): Represented by ACA Chairman Hersi Said.

Al Ahly (Egypt): Represented by Khaled Mortagy.
Kaizer Chiefs (South Africa): Represented by Jessica Motaung, the ACA First Vice-Chairperson.
Akwa United (Nigeria): Represented by Paul Bassey.
Al Hilal (Sudan): Represented by Hassan Ali Eissa.
Mighty Blackpool FC (Sierra Leone): Represented by Rodney Edmond Michael.
AS Loto FC (Benin): Represented by Ayibatin Wilfrido.
AS Maniema Union (DR Congo): Represented by Guy Kapya Kilongozi.
CS de Bendje (Gabon): Represented by Ravel Mondjo Mbouloungou.
AS Real Bamako (Mali): Represented by Famakan Dembele.
African Stars (Namibia): Represented by Salomo Hei.

Hapo ahly ahly hayupo kama board members ni mwakilishi wa kawaida una lingine???

Leo nakutoa upumbavu wako wote kichwani
 
Hivyo vikao vinahudhuriwa na vitimu vidogovidogo ambavyo hapa Afrika havijulikani. Kwahiyo uto na Azam kuhudhuria ilikuwa sahihi

Young Africans (Tanzania): Represented by ACA Chairman Hersi Said.
Al Ahly (Egypt): Represented by Khaled Mortagy.
Kaizer Chiefs (South Africa): Represented by Jessica Motaung, the ACA First Vice-Chairperson.
Akwa United (Nigeria): Represented by Paul Bassey.
Al Hilal (Sudan): Represented by Hassan Ali Eissa.
Mighty Blackpool FC (Sierra Leone): Represented by Rodney Edmond Michael.
AS Loto FC (Benin): Represented by Ayibatin Wilfrido.
AS Maniema Union (DR Congo): Represented by Guy Kapya Kilongozi.
CS de Bendje (Gabon): Represented by Ravel Mondjo Mbouloungou.
AS Real Bamako (Mali): Represented by Famakan Dembele.
African Stars (Namibia): Represented by Salomo Hei.

Kumbe naye ahly ahly ni team ndogo kuliko simba! Hongera kwa upumbavu wako🤣🤣
 
Ameharibu sana ushindani wa Ligi yetu kwa kuzitumia timu 8 ambazo GSM alikuwa anazifadhili pamoja na Yanga
Same old story ila haya yote FIFA hawajaona mpaka wamemchagua kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati zao za utendaji???
 
Sasa kuwa mjumbe wa Kamati nacho ni cheo? Tumtetemekee mjumbe je akija Mwenyekiti wa Kamati si tutakunya mavi? Na Je vipi akitokea Rais wa FIFA si tutatamani tufe kabisa.

Huyu mzembe tumewaachie nyninyi Yanga muendelee kumuabudu but BIG NO with SSC
 
Bado umelishikilia tuu hili. Me nilishamaliza mzee baba. Ila kwa kuwa wewe SI jakaya Wala baba ake haji, nitakusaidia.

Hersi aliikimbilia hiyo nafasi Wala hakuiteuliwa Wala kupigiwa kura, kila mtu aliona siku Ile ya mkutano. By the way board members wa ACA ina uwakulishi wa lazima wa Kanda zote za CAF. KILAZA kumbe wewe ikiwemo hiyo UNAF, najua hapo hoja yako ni waarabu kuwepo sehemu ya bodi.
 
The African Club Association (ACA) was launched in November 2023 with over 300 clubs as members. Representatives from various leagues and clubs across the continent are involved in the leadership, with members including Young Africans (Tanzania), Kaizer Chiefs (South Africa), Al Ahly (Egypt), and Akwa United (Nigeria).
Examples of clubs with representation in the ACA

Young Africans (Tanzania): Represented by ACA Chairman Hersi Said.
Al Ahly (Egypt): Represented by Khaled Mortagy.
Kaizer Chiefs (South Africa): Represented by Jessica Motaung, the ACA First Vice-Chairperson.
Akwa United (Nigeria): Represented by Paul Bassey.
Al Hilal (Sudan): Represented by Hassan Ali Eissa.
Mighty Blackpool FC (Sierra Leone): Represented by Rodney Edmond Michael.
AS Loto FC (Benin): Represented by Ayibatin Wilfrido.
AS Maniema Union (DR Congo): Represented by Guy Kapya Kilongozi.
CS de Bendje (Gabon): Represented by Ravel Mondjo Mbouloungou.
AS Real Bamako (Mali): Represented by Famakan Dembele.
African Stars (Namibia): Represented by Salomo Hei.

Kiufupi kama mbupu umebanwa kwenyewe hata cha kujibu umeshindwa ndugu🤣🤣

Ulianza kusema kuna team mbili tu je hizo ngapi?

Ukasema waarabu hakuna kama ahly ahly huyo ni nani??🤣🤣

Mtake msitake mtakuja tu acheni utoto wa sizitaki hizi mbichi

Una argument za kitoto sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…