Kwanini Simba wamegoma kutii wito wa bosi wao kutoka ACA Eng Hersi?

Sasa kuwa mjumbe wa Kamati nacho ni cheo? Tumtetemekee mjumbe je akija Mwenyekiti wa Kamati si tutakunya mavi? Na Je vipi akitokea Rais wa FIFA si tutatamani tufe kabisa.

Huyu mzembe tumewaachie nyninyi Yanga muendelee kumuabudu but BIG NO with SSC
Huyo karia unayemtetemekea unajua naye ni mjumbe pamoja na hersi huko??

Hersi ni kama maji utayanywa tu

Yeye ndio anawaamulia mambo yote muhimu kwa sasa mtake msitake
 
kila mtu aliona siku Ile ya mkutano. By the way board members wa ACA ina uwakulishi wa lazima wa Kanda zote za CAF.
Kwahiyo sasa sio uwakilishi wa hiyari?? Umebadilisha tena? Si ulidai sio lazima chamsingi CAF wanakutambua??

Hizi sio zama za uongo kama wako kadanganye kijijini kwenu uko mpimbwe sio hapa mkuu🤣🤣

Na FIFA nako alikimbilia nafasi eeh? Tufanye hivyo tu nako alijichagua
 
Kuna kitu kinanishangaza
Huyu Tui ni mtu mzima tu ila ana ushabiki wa kitoto sana

Naona comments za kipumbavu za TAI DUME jinsi anavyoandika mashudu ila mwamba analike tu ndio ile " wewe mwanasimba mwenzangu bhana"🤣🤣

Tui acha ujinga wewe mtu mzima bwana mkubwa usiwe na ushabiki wa kitoto naona umeishiwa pawa kabisa😂👋
 
Mnapataga kazi ya kuhoji mambo mengine ni Asili.
Wewe ukisoma Qur ani au Biblia ulikuta nabii/mtume mweusi?
Watu weusi mnashida sana.
 
The African Club Association (ACA) was launched in November 2023 with over 300 clubs as members. Representatives from various leagues and clubs across the continent are involved in the leadership, with members including Young Africans (Tanzania), Kaizer Chiefs (South Africa), Al Ahly (Egypt), and Akwa United (Nigeria).
Examples of clubs with representation in the ACA

Young Africans (Tanzania): Represented by ACA Chairman Hersi Said.
Al Ahly (Egypt): Represented by Khaled Mortagy.
Kaizer Chiefs (South Africa): Represented by Jessica Motaung, the ACA First Vice-Chairperson.
Akwa United (Nigeria): Represented by Paul Bassey.
Al Hilal (Sudan): Represented by Hassan Ali Eissa.
Mighty Blackpool FC (Sierra Leone): Represented by Rodney Edmond Michael.
AS Loto FC (Benin): Represented by Ayibatin Wilfrido.
AS Maniema Union (DR Congo): Represented by Guy Kapya Kilongozi.
CS de Bendje (Gabon): Represented by Ravel Mondjo Mbouloungou.
AS Real Bamako (Mali): Represented by Famakan Dembele.
African Stars (Namibia): Represented by Salomo Hei.

Kiufupi kama mbupu umebanwa kwenyewe hata cha kujibu umeshindwa ndugu🤣🤣

Ulianza kusema kuna team mbili tu je hizo ngapi?

Ukasema waarabu hakuna kama ahly ahly huyo ni nani??🤣🤣

Mtake msitake mtakuja tu acheni utoto wa sizitaki hizi mbichi

Una argument za kitoto sana mkuu
Tumesema hatuji na huyo Hersi wenu hana cha kutufanya. Nyambaaaf
 
Huyo karia unayemtetemekea unajua naye ni mjumbe pamoja na hersi huko??

Hersi ni kama maji utayanywa tu

Yeye ndio anawaamulia mambo yote muhimu kwa sasa mtake msitake
Weka job description ya mjumbe wa kamati hapa!! Mbona unaonekana kama huna uzoefu wa management??
 
Kwahyo tulivyoacha kuja kwenye hvyo vikao vya kusutana ndio mmeumia au sio.

Mkiwa nyie pekee yenu inatosha sie hatukai na watu tunaowazidi akili.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimetokea kuichukia yanga kwasababu ya uchawa(sisemi kwamba nimehama no) na azam ndo chawa na nusu.
 
Nimetokea kuichukia yanga kwasababu ya uchawa(sisemi kwamba nimehama no) na azam ndo chawa na nusu. MO 29 ITS NOW OR NEVER!
 
Weka job description ya mjumbe wa kamati hapa!! Mbona unaonekana kama huna uzoefu wa management??
Okay hersi ni mjumbe wa kamati ya mashindano ya FIFA, nadhani unajua nini kazi ya kamati za mashindano kabla na baada ya kuanza msimu
 
Wakuu
I salute you kinsmen

Kiukweli Simba wamefanya utoto mkubwa sana kugoma kuhudhuriq shughuli iliyoandaliwa na Rais wa African club association ACA na mjumbe ilipo kamati kuu tendaji ya FIFA. Ambaye sote tunamjua ni Hersi.

Sasa shirikisho hili la Africa nzima ikiwemo Simba ipo chini ya Hersi.

Kiutaratibu walitakiwa kutii wito ule lakini wamekaidi na hawakufika

Je ni dharau?

Wivu? Kwamba wanaona Hersi amefika mbali kuliko wao ambao walisema eti rais wa FIFA alisema wanacheza vizuri kuliko Ahly Ahly?

Kiufupi naona ni ile roho ya kimaskini inawasumbua kiasi cha kuona wakienda watajishusha sana

Na kingine ni ule ushamba wa utani wa jadi ambao umepitwa na wakati sababu kwa sasa yanga mtani wake ni azam ndio analeta upinzani ila simba ni kibonde sasa utani gani wa kupigwa mara sita mfululu??

Mbona kwenye shughuli ile azam CEO wao alikuja? So simba wamedharau au kukaidi?

Hawajui Hersi anawapigania na. Wao pia?

Kiufupi wameonyesha utoto mkubwa sana usioelezeka..

✅️CURRENT AFRICAN CLUB ASSOCIATION BOARD MEMBERS
Hersi Said (Young Africans, Tanzania) – Chairman

Jessica Motaung (Kaizer Chiefs, South Africa) – Vice Chairperson

Paul Bassey (Akwa United, Nigeria) – Vice Chairperson

CECAFA

Hersi Said (Young Africans, Tanzania)

Hassan Ali Eissa (Al Hilal, Sudan)

COSAFA

Jessica Motaung (Kaizer Chiefs, South Africa)

Salomo Hei (African Stars, Namibia)

UNAF

Khaled Mortagy (Al Ahly, Egypt)

Adil Halla (former Raja Casablanca, Morocco)

UNIFFAC

Ravel Mondjo Mbouloungou (CS de Bendje, Gabon)

Guy Kapya Kilongozi (AS Maniema Union, DR Congo)

WAFU A

Rodney Edmond Michael (Mighty Blackpool FC, Sierra Leone)

Famakan Dembele (AS Real Bamako, Mali)

WAFU B

Ayibatin Wilfrido (AS Loto FC, Benin)
Paul Bassey (Akwa United, Nigeria)

The African Club Association (ACA) was launched in November 2023 with over 300 clubs as members. Representatives from various leagues and clubs across the continent are involved in the leadership, with members including Young Africans (Tanzania), Kaizer Chiefs (South Africa), Al Ahly (Egypt), and Akwa United (Nigeria).
Examples of clubs with representation in the ACA

Young Africans (Tanzania): Represented by ACA Chairman Hersi Said.
Al Ahly (Egypt): Represented by Khaled Mortagy.
Kaizer Chiefs (South Africa): Represented by Jessica Motaung, the ACA First Vice-Chairperson.
Akwa United (Nigeria): Represented by Paul Bassey.
Al Hilal (Sudan): Represented by Hassan Ali Eissa.
Mighty Blackpool FC (Sierra Leone): Represented by Rodney Edmond Michael.
AS Loto FC (Benin): Represented by Ayibatin Wilfrido.
AS Maniema Union (DR Congo): Represented by Guy Kapya Kilongozi.
CS de Bendje (Gabon): Represented by Ravel Mondjo Mbouloungou.
AS Real Bamako (Mali): Represented by Famakan Dembele.
African Stars (Namibia): Represented by Salomo Hei.

View attachment 3490040

Its Pancho
Umepoteza muda wako kuandika utumbo wa bata..tumia akili acha mihemko
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Okay hersi ni mjumbe wa kamati ya mashindano ya FIFA, nadhani unajua nini kazi ya kamati za mashindano kabla na baada ya kuanza msimu
Mjumbe wa Kamati siyo Mwenyekiti. Mwenyekiti ndiye bosi. Wewe Pancho kama ni mwanaume basi ndiyo nyie mnatawaliwa na wake zenu
 
The African Club Association (ACA) was launched in November 2023 with over 300 clubs as members. Representatives from various leagues and clubs across the continent are involved in the leadership, with members including Young Africans (Tanzania), Kaizer Chiefs (South Africa), Al Ahly (Egypt), and Akwa United (Nigeria).
Examples of clubs with representation in the ACA

Young Africans (Tanzania): Represented by ACA Chairman Hersi Said.
Al Ahly (Egypt): Represented by Khaled Mortagy.
Kaizer Chiefs (South Africa): Represented by Jessica Motaung, the ACA First Vice-Chairperson.
Akwa United (Nigeria): Represented by Paul Bassey.
Al Hilal (Sudan): Represented by Hassan Ali Eissa.
Mighty Blackpool FC (Sierra Leone): Represented by Rodney Edmond Michael.
AS Loto FC (Benin): Represented by Ayibatin Wilfrido.
AS Maniema Union (DR Congo): Represented by Guy Kapya Kilongozi.
CS de Bendje (Gabon): Represented by Ravel Mondjo Mbouloungou.
AS Real Bamako (Mali): Represented by Famakan Dembele.
African Stars (Namibia): Represented by Salomo Hei.

Kiufupi kama mbupu umebanwa kwenyewe hata cha kujibu umeshindwa ndugu🤣🤣

Ulianza kusema kuna team mbili tu je hizo ngapi?

Ukasema waarabu hakuna kama ahly ahly huyo ni nani??🤣🤣

Mtake msitake mtakuja tu acheni utoto wa sizitaki hizi mbichi

Una argument za kitoto sana mkuu
JAMAA KILAZA SANA. YAANI UNALETA MAJIBU YA BOT WA CHATGPT HAPA? HUYO BOT ANAKUJIBU KWA JINSI UNAVOMUULIZA. MIMI KANIJIBU ALAHLY ALIKUWA KWENYE ULE MKUTANO WA MWANZO WAKATI WA UZINDUZI AMBAO HERSI ALIIKIMBILIA HIYO NAFASI.

What is known, however:
  • When the ACA was launched (in late 2023), the Confederation of African Football (CAF) invited the “chairmen and senior representatives of the 60 most successful and biggest Football Clubs in Africa” to a meeting. Confédération Africaine de Football.
  • The inaugural board of the ACA includes a representative from Al Ahly SC (Egypt) — namely “Khaled Abdelkader (Al Ahly, Egypt)” in the UNAF (North Africa) Zone of the board.
From this, we can infer that Al Ahly is at least represented on the ACA board, which strongly suggests the club is involved and likely a member of the ACA.
However, because no full membership list is publicly confirmed, I cannot conclusively state that Al Ahly has full ordinary membership status (versus honorary, board‑representation, or provisional) under the ACA’s governance structure.

HUNA AKILI.
 
Mwaliko ulikuwa wa wala mihogo na wanywa supu ya vibudu haukuihusu Simba, mleta mada umekurupuka.
 
Na wewe hii umetoa wapi sasa?😂😂

Unachekesha sana mkuu hata huyo Chat Gpt amekwambia lakini naye unambishia dah ila wanasimba sijui akili mnaachaga wapi?

Hiyo ni nini ulipotoa kama sio huko Chat gpt?

Ahly ahly ipo kama member au haipo?? Mbona unajiuma uma?
 
Naunga hoja mkono Simba wameleta utoto na ushamba, lakini Hersi atabaki kuwa boss wao na waendelee kuringa tu hata hizo pesa ikiwezekana wasipate wa puuzi hawa
Naona baada ya kipondo leo mnekuja na vimada uchwara lakini hakuna mwenye time na mpira kwa sasa mwaka wa mabadiriko huu
 
Mashabiki wa utopilo hawana akili wanafikiri kwa kutumia mik...ndu
 
Na wewe hii umetoa wapi sasa?😂😂

Unachekesha sana mkuu hata huyo Chat Gpt amekwambia lakini naye unambishia dah ila wanasimba sijui akili mnaachaga wapi?

Hiyo ni nini ulipotoa kama sio huko Chat gpt?

Ahly ahly ipo kama member au haipo?? Mbona unajiuma uma?
Soma vizuri nimekwambia na Mimi nilimuuliza kama wewe ulimvomuuliza. Kama kingereza kinakufua muulize hata kikurya atakujibu.

Kwa kuwa akili yako ndogo nitakusaidia alichosema kuhusu al ahly.

Ni kwamba al ahly alikuwa board member wakati wa mkutano wa uzinduzi wa hiyo CAS. Huo mkutano hata simba ilihudhutia kama inauguration board of clubs representatives. Walitoka kwenye vilabu 60 kutoka Kanda zote za CAF. Baada ya hersi kuimbilia uongozi one of the task ya kuanza nayo ya hersi ilikuwa ni kuestablish office na kuanza kufanya official member registration. Of of which up to moment the registration process ndio unaanza that's why hata hao Azam walisema watakuwa wa kwanza kujisajiri.

Usipoelewa na hapo kuhusu al ahly wewe ni sikio la kenge Sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom