Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 462
- 733
Ofcoz ni salarykwanza haujatuambia hayo ni malipo ya nini
Ni mmoja was makocha wanaoweza ku produce more, from less.Wakuu
Mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mpira ila katika pitapita zangu kwenye mitandao nikakutana na hii Tweet.
Napenda nijue kutoka kwenu wadau wa football hasa European top leagues
Nini kinamfanya Huyu Manager Simeon wa Atletico Madrid alipwe pesa ndefu kiasi hiki kuliko makocha wa team kubwa kama Barcelona au Man City
Ramadhan Kareem
Kamkuza nani??Ni mmoja was makocha wanaoweza ku produce more, from less.
Mpe Guardiola timu au budget hiyo. Hafiki popote.
Simeone ana uwezo mkubwa wa kukuza wachezaji. Wengine wanataka ready made players.
🤔😁😁 nenda Google kabadilishehebu tubadilishie kwenye pesa za bongo wengine hatuelewi.
nenda kwa niaba yangu.🤔😁😁 nenda Google kabadilishe
OK ni Tshs billion 59, na mamilion kadhaanenda kwa niaba yangu.
hiyo ni pensheni au mshahara?OK ni Tshs billion 59, na mamilion kadhaa
Hayo mamilion kadhaa malizia mwenyew
Bila shaka ni mshaharahiyo ni pensheni au mshahara?
nianze kozi ya ukocha na mimi.Bila shaka ni mshahara
nianze kozi ya ukocha na mimi.
Lucas & Theo hernandez, koke,Gimenez,Correa,Saul,Rodri,Thomas,CostaKamkuza nani??
Ila hatamsahau CR7 amemzuia kufikia ndoto zake nyingi sanaLucas & Theo hernandez, koke,Gimenez,Correa,Saul,Rodri,Thomas,Costa
Kiufupi hao walikuja na wengine wametoka academy wakiwa wachezaji wa kawaida sana ila leo hii market value yao sio chini ya €60 Million kwa mmoja mmoja na wanagombaniwa ulaya nzima huku wakiweza kuweka upinzani mkubwa kwa Madrid na barca ambao wana bajeti kubwa zaidi kuliko wao.
Na walifanikiwa kubeba makombe 7 kwa kikosi hiko.... Kwahyo Simeone anastahili huo mshahara.
He makes average players improve tremendously. Labda niliweke hivyoKamkuza nani??