Jamaa ushindi wake huwa goli tuu na anasonga mbeleKama ndie anaelipwa zaidi!!
Thaminisha kile alichokifanya kilichompa mkataba, angalia kule alipowatoa atletico de madrid
Kwangu mimi diego simeone "el cholo" ni kocha mzuri baada ya pep
Ila ndio ninaemuhusudu zaidi, kanifanya niipende mnoo atletico madrid. Jamaa yuko vizuri kimbinu ana soka la kuvutia, anajua mbinu za kuzuia na kushambulia pia.
Nje ya mada
Nimekuwa nikitamani kabla ya messi hajaisha kabisa argentina wangejaribu kumpa national team huyu jamaa.
Ama hata hapo baadae wampe huyu kichaa chama lao nadhani hawatojuta.
Huyo bwana mdogo anajua ku bargain. Managers are hired to be fired. Team Management ni kazi ambayo haina guarantee, jilipue, dai malipo makubwa.Wakuu
Mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mpira ila katika pitapita zangu kwenye mitandao nikakutana na hii Tweet.
Napenda nijue kutoka kwenu wadau wa football hasa European top leagues
Nini kinamfanya Huyu Manager Simeon wa Atletico Madrid alipwe pesa ndefu kiasi hiki kuliko makocha wa team kubwa kama Barcelona au Man City
Ramadhan Kareem
Hiko chanzo chako ni cha siku nyingi sana hebu tupe current status..
Maana naona hapo Conte alikuwa kocha wa inter Milan.
Imagine conte kaenda chelsea hadi akafukuzwa, itakuwa misimu miwili hivi imepita.