Kama ndie anaelipwa zaidi!!
Thaminisha kile alichokifanya kilichompa mkataba, angalia kule alipowatoa atletico de madrid
Kwangu mimi diego simeone "el cholo" ni kocha mzuri baada ya pep
Ila ndio ninaemuhusudu zaidi, kanifanya niipende mnoo atletico madrid. Jamaa yuko vizuri kimbinu ana soka la kuvutia, anajua mbinu za kuzuia na kushambulia pia.
Nje ya mada
Nimekuwa nikitamani kabla ya messi hajaisha kabisa argentina wangejaribu kumpa national team huyu jamaa.
Ama hata hapo baadae wampe huyu kichaa chama lao nadhani hawatojuta.