Kwanini simu za Samsung zinashuka thamani haraka sana tofauti na iphone?

Kwanini simu za Samsung zinashuka thamani haraka sana tofauti na iphone?

S7 sealed nina uhakika 100% huwezi pata mpya piga ua,
S8 90% hupatii..

S9 zipo ila still kwa k.koo utahangaika sana.

S10 Zipo lkn kutokana na njaa wengi tunanunua second hand au refub, na wafanyabiashara weng tuu, uwezo wa kununua hizo simu zikiwa mpya sealed hawana au km upo wanajua zitawadodeaaa.

Halaf kitu kingne ambacho wateja wa iphone wamepewa advantage lkn weng hawajui
Ni simu zao kuonesha Battery health...
Hii kitu ni point kubwa sanaa kujua hali ya simu.

Kwa faida yako tuu...
Ukikuta iphone ina battery health 90% hio angalau narudia tena ANGALAU imetumika mwaka mmoja, kinyume na hapo ni mwaka na zaidi.
Chini ya hapo labda km ilitumika under heavy duty au ina shida sehemu.

Iphone hizi mpya km haina shida yyt, under normal and legal use, ndani ya mwaka battery health inashuka kwa asilimia 5.
 
Umeongea kweli kabisa
 
Hii ndo shida kubwa ya wabongo... kuna mtu nilimwambia nimuuzie S9 plus yangu kwa 700K mwezi october. akakataa eti anaenda nunua mpya.... nikamwambia huwezi pata hiyo simu mpya kwa 900K kwasasa Kwani samsung hauzi tena akanikatalia...

Cha ajabu kauziwa simu kwenye box ila ni mbovu mno upande wa betri heri angekuchukua yangu niliyoitunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeshaiuza ndugu ?
 
Hapa nina huawei yangu p20 pr0 simu kali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Google unafanyaje mkuu,mgonjwa sana wa Huawei but toka USA alivyowa-snitch jamaa na kuondoa Google futures kwenye hii brand nimetokea kuwakataa nimejishikisha kwenye Xiaomi ila nataka nirudi Huawei.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kwenye hii yangu p20 pro sijaona tatizo lolote inapiga kazi kama kawa na google na takataka zake zote natumia fresh tu.

Hata haina habari ya sijui kufungiwa google.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachofahamu ni kwamba nyingi ni second hand, zilishatumika zikachoka zikavalishwa nguo mpya ndo hizo zinauzwa kama maandazi sokoni. Nunua Iphone kwa authorised dealer utatumia mpaka uitupe mwenyewe. Yangu hapa nimeshaichoka ni vile tu sina hela ya kuupgrade. Ukiiona kama nimeinunua jana perfomance, battery na kila kitu.

ni kwel ata mimi yang ni nmeichoka, second hand zinaponza watu
 
ni kwel ata mimi yang ni nmeichoka, second hand zinaponza watu

Mtu anajua kabisa bei ya Apple sokoni, anapatana na simu inauzwa makumbusho laki 3 ananunua ili naye awe tu na tunda then anakuja huku kutulilia! No aisee wapambane na hali zao 😀
 
Kwa bei za dukani sawa. Ila kwa mtaani s7 iko chini sana.
weka na mfano kabisa ni simu gani,maana inavyofahamika huwa zinapishana thamani toka zikiwa mpya kwa tofauti ya dolla 200 mpaka 400.kwahiyo gape hilo linadumu wakati wote.tafuta iphone 8 na s7 zinaendelea kudumisha gape.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anajua kabisa bei ya Apple sokoni, anapatana na simu inauzwa makumbusho laki 3 ananunua ili naye awe tu na tunda then anakuja huku kutulilia! No aisee wapambane na hali zao [emoji3]

iphone za makumbusho ni tecno zilizochangamka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom