Salamu wanaJF
Mpaka sasa najiuliza kama tuna serikali mpaka sasa maana serikali hii haijali wananchi wake.
Tulianza na MV BUKOBA wakati wa mkapa
Ikaja Mbagala sasa hivi gongo la mboto, hawa watu wapo wamekaa madarakani wanakula kodi zetu. Mpaka sasa waathirika wa mbagala wengine hajaripwa hela zao.
TUKIO la HAITI, nchi hiyo ilianzisha HAITI foundation ambayo ni endelewa inawasadia waathirika kwa maisha yao mpka elimu yao ya chuo kikuu
Watu wa mbagala wameishia hewani na wamesaurika
kwanini serikali hii inakuwa ya KINYAMA KINYAMA