Kwanini sio SERIKALI HII HAIJALI WANANCHI?????

Kwanini sio SERIKALI HII HAIJALI WANANCHI?????

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Salamu wanaJF

Mpaka sasa najiuliza kama tuna serikali mpaka sasa maana serikali hii haijali wananchi wake.

Tulianza na MV BUKOBA wakati wa mkapa

Ikaja Mbagala sasa hivi gongo la mboto, hawa watu wapo wamekaa madarakani wanakula kodi zetu. Mpaka sasa waathirika wa mbagala wengine hajaripwa hela zao.

TUKIO la HAITI, nchi hiyo ilianzisha HAITI foundation ambayo ni endelewa inawasadia waathirika kwa maisha yao mpka elimu yao ya chuo kikuu


Watu wa mbagala wameishia hewani na wamesaurika

kwanini serikali hii inakuwa ya KINYAMA KINYAMA
 
na bado mtamkumkuka sana Dr.SLAA
ALISEMA KUWA kumchagua JK ni kukaribisha janga
haya si mmeona sasa?
kila kitu ni shida na watu wanatamani 2015 ifike mapema
wale hawako pale kwa ajiri ya wananchi bali wako kwa maslahi yao binafsi(rejea maneno ya wziri Mwinyi akisema hawezi kujihuzuru)
 
hapa kweli Dr Slaa atakumbukwa

Hii serikali naona hawezi kujali wananchi wake utendaji wake umejaa kisiasa:wink2::wink2:
 
Back
Top Bottom