Akijibu nishtueWenzako wanakufa kwanini sio wewe
🙄 Gaidi kavamia uzi sasa!Wenzako wanakufa kwanini sio wewe
Wenzako wataenda peponi ila sio weweWenzako wanakufa kwanini sio wewe
Wenzako wana HIV,TB,KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, VILEMA NA N.K lakini siyo wewe.Habari zenu
Wenzako wana magari na majumba lakini sio wewe
Wenzako wana wanawake/wanaume na watoto vizuri tu familia zao zipo sawa lakini sio wewe
Wenzako wana kazi/ajira.. wamejiajiri vizuri tu lakini sio wewe
Wenzako wana maendeleo lakini sio wewe
Wenzako wana furaha na amani lakini sio wewe
Ndio tuseme hautaki au mda bado “ mda sio sahihi kwako wakati kwa wenzako kila mda ni sahihi ( matumizi tu ya mda ) au ndio tusikufananishe na wengine..
Wenzako wanaugua magonjwa makubwa km Kansa lkn kwa nini sio weweWenzako wanakufa kwanini sio wewe
Hili jibu mubashara 🤣😁🤣😁Wenzako wanakufa kwanini sio wewe
Ebu tulia kidogoHabari zenu
Wenzako wana magari na majumba lakini sio wewe
Wenzako wana wanawake/wanaume na watoto vizuri tu familia zao zipo sawa lakini sio wewe
Wenzako wana kazi/ajira.. wamejiajiri vizuri tu lakini sio wewe
Wenzako wana maendeleo lakini sio wewe
Wenzako wana furaha na amani lakini sio wewe
Ndio tuseme hautaki au mda bado “ mda sio sahihi kwako wakati kwa wenzako kila mda ni sahihi ( matumizi tu ya mda ) au ndio tusikufananishe na wengine..
[emoji849] Gaidi kavamia uzi sasa!
Wenzako wanaugua magonjwa makubwa km Kansa lkn kwa nini sio wewe
Hili jibu mubashara [emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji16]
Wenzako wataenda peponi ila sio wewe
Akijibu nishtue
Punguza hasira Toto..😀Yaani mi nimeamka nahanngaika kutafuta hela alafu ye ananiuliza wenzangu wanazo sijui wana majumba kwanini sio mimi [emoji53] nimemaind
Wenzako wana HIV,TB,KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, VILEMA NA N.K lakini siyo wewe.
Furaha ni siri...kila mmoja wetu anajijua.
Je...wajua.
Unaweza kuwa na Nyumba nzuri, gari (una pesa mingi) ila bado usiwe na furaha.
Ila kuna watu wana pesa mingi na hawana matatizo yoyote yale ( Full furaha).
Sent using Jamii Forums mobile app