Kwanini sio wewe?

Kwanini sio wewe?

Habari zenu

Wenzako wana magari na majumba lakini sio wewe

Wenzako wana wanawake/wanaume na watoto vizuri tu familia zao zipo sawa lakini sio wewe

Wenzako wana kazi/ajira.. wamejiajiri vizuri tu lakini sio wewe

Wenzako wana maendeleo lakini sio wewe

Wenzako wana furaha na amani lakini sio wewe

Ndio tuseme hautaki au mda bado “ mda sio sahihi kwako wakati kwa wenzako kila mda ni sahihi ( matumizi tu ya mda ) au ndio tusikufananishe na wengine..
Wenzako wana HIV,TB,KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, VILEMA NA N.K lakini siyo wewe.

Furaha ni siri...kila mmoja wetu anajijua.

Je...wajua.
Unaweza kuwa na Nyumba nzuri, gari (una pesa mingi) ila bado usiwe na furaha.

Ila kuna watu wana pesa mingi na hawana matatizo yoyote yale ( Full furaha).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu tulia kidogo
 
Umenena vyema
 
Back
Top Bottom