Wenzako wana HIV,TB,KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, VILEMA NA N.K lakini siyo wewe.
Furaha ni siri...kila mmoja wetu anajijua.
Je...wajua.
Unaweza kuwa na Nyumba nzuri, gari (una pesa mingi) ila bado usiwe na furaha.
Ila kuna watu wana pesa mingi na hawana matatizo yoyote yale ( Full furaha).
Sent using Jamii Forums mobile app