Kwanini sio wewe?

Kwanini sio wewe?

Wenzako wana HIV,TB,KISUKARI, VIDONDA VYA TUMBO, VILEMA NA N.K lakini siyo wewe.

Furaha ni siri...kila mmoja wetu anajijua.

Je...wajua.
Unaweza kuwa na Nyumba nzuri, gari (una pesa mingi) ila bado usiwe na furaha.

Ila kuna watu wana pesa mingi na hawana matatizo yoyote yale ( Full furaha).


Sent using Jamii Forums mobile app

Unaweza kua na magar mke mme majumba na usiwe na furaha
 
Katika kila neema mtu aliyojaliwa basi kuna mtihani wake pia anapitia ambao wewe haufahamu.
Mfano Mungu anaweza akambariki mja wake na mali lakini akamkosesha akili ya kuishi na mwanamke.
Mungu anaweza mjalia mtu na mke mzuri, watoto lakini kipato kikawa cha magumashi.
Mtu anaweza kamjalia mtu na akili za darasani ila akili za maisha akazikosa nk
 
Wenzako wanakula tunda kimasihara ila sio wewe.
 
Back
Top Bottom