Nilishawahi kusema kwamba wanaume tupo kwenye mgomo wa kuoa kutakana na tabia zenu akina dada za KUOMBAOMBA.
Unamtogoza demu asubuhi, hata bado hamjajuana vizuri mchana anaanza kukulilia shida,
sasa najiuliza huyu mtu vp? kabla hatujajuana alikuwa hana shida iweje leo tumeanza uhusiano shida zinaanza kumwandama? basi itakuwa mi ninamkosi ktk maisha yake hivyo ni bora nimteme ili shida zake zimuishie.
VILEVILE NAPENDA KUWASHAURI DADA ZANGU, PENDENI KUJISHUGHULISHA KTK KUJIPATIA KIPATO, HUU SI WAKATI WA KUMTEGEMEA MWANAUME KAMA MKOMBOZI WA MAISHA YAKO.
MWANAMKE ASIYEJUA KUTAFUTA PESA HAFAI KUOLEWA KWANI ATAKUWA MZIGO KATIKA MAISHA. HUU NI WAKATI WA BABA ANALETA NA MAMA ANALETA, JIONI TUNAFUNGA HESABU, HIVYO NDIVYO MAENDELEO YANAVYOPATIKANA KTK FAMILIA.
SIO LEO NA KESHO MWANAUME NAKUFA, MWANAMKE HAJUI KUSIMAMIA MIRADI, ANAFILISI MIRADI YOTE COZ ANAJUA KUTUMIA TU, MWISHOWE ANAKIMBILIA KUOLEWA TENA.