The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Hiyo ya subscription na mimi ndiyo concern yangu kubwa.
Kwanza watu wengi Tanzania hawana access na internet. Pili, who has money to waste like that?
Kuna site za bure tu watu hawaaingii
mfano site za properties....