Kwanini sipati wangu?

Kwanini sipati wangu?

Hiyo ya subscription na mimi ndiyo concern yangu kubwa.

Kwanza watu wengi Tanzania hawana access na internet. Pili, who has money to waste like that?

Kuna site za bure tu watu hawaaingii
mfano site za properties....
 
Ndo maana mi nikataka the Golden touch by some known names.

Max tayari ana traafic na kui divert kwenye "jamiidate.com" kwa mfano, itakuwa kitu rahisi sana.

Hiyo Marafiki naweza kuwa nzuri lakini ikpo katika "deep web" huko, deeper than the Mariana Trench watu hawaioni.

Idea ni nzuri mno
hope Max aitumie tuone iasaidia vipi..
 
Kuna site za bure tu watu hawaaingii
mfano site za properties....

Kuna kitu kingine pia nafikiria.

How genuine are these people and how do we know for sure that they are not just trying to pull people's legs? Perhaps a subscription service can answer that question...
 
Kuna kitu kingine pia nafikiria.

How genuine are these people and how do we know for sure that they are not just trying to pull people's legs? Perhaps a subscription service can answer that question...

exactly my point
mtu aki spend pesa yake
anakuwa serious zaidi
na sio utani utani
na wabongo kuwa charge kwa hili sio ishu ndogo
 
Back
Top Bottom