Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Umenena kama msemaji wa serikaliKitu ambacho hamjakijua ni mind your business!!
Sijui Kama nitaeleweka! Pambania maisha yako, pambania familia yako pambana upate fedha upunguze matatizo uliyonayo.
Lalamikia serikali yako kukupatia mambo ya msingi Hospitali na huduma nyengine ila wewe jiwekeze kujikimu hayo mengine utadata; hakuna atakae kupa taarifa ya uhakika hapa hiyo hela imekwenda kivipi.
Calm down mkuu, tunaweza kujadili kwa hoja bila kuita watu wajinga.Deni la taifa ni 56t, what is $300m? Mkuu unajua unachoongea au umelishwa ujinga na Kabudi na ww ukaumeza kama ulivyo?
Calm down mkuu, tunaweza kujadili kwa hoja bila kuita watu wajinga.
Kusema nimelishwa ujinga ni sawa na kusema mimi ni mjinga.
Nilichosema ni kwamba hao wanaotudai wakiona upenyo wa kukamata mali zetu tukaweza kupunguza deni wanalo tudai angalau 5% tu kibiashara kwao ina faida, utakubaliana na mimi ktk hili kama umewahi kujaribu biashara yoyote maishani mwako hata ya mgahawa au duka.
Au kama umewahi kufanya kazi sekta binfsi kampuni ya kibiashara.
Anaweza kukulipa na akafanya siri kwa public kutokana na makubaliano. sawa sawa tu na mikataba ya siri wanayo fanya kila siku.
Watajulishwa wanahisa kwa siri, itatoka public kwenye hesabu ya ukaguzi za kampuni husika iliyo lipa wakati tayari ishatumika.
Au watakapojulishwa wanahisa kwenye kikao hca wanahisa wakati zimeshatumika, sababu hapo kupitishwa malipo zimeshapitishwa.
Wana sahinishana ile Non Disclosure Agreement (NDA) tu.
Ni hivi unaweza kumuonesha mtu udhaifu wake akajiona mjinga yeye mwenyewe bila kuitwa mjinga.Mkuu kwa sasa ndani ya hii nchi yetu hakuna popote kuna mijadala yenye mitazamo mbadala zaidi ya hoja za kusifia, humu mitandaoni pekee ndio kulikobaki kwenye hoja huru. Humu mitandaoni ndio pekee viongozi wanakopita na kupata mrejesho wa uongozi wao kwa kusoma mawazo mbadala. Kiongozi anapopita humu na kukuta ujinga wake ukipata watetezi, anazidi kupata nguvu ya kuendeleza huo ujinga.
Sasa ngoja twende pamoja uone kwanini nina haki ya kukuita mjinga, nimekuambia deni la taifa ni 56t, hiyo pesa ya Barick ambayo Kabudi alisema ikisemekana tumelipwa wanaotudai watakamata vitu vyetu ni $300m. Miezi miwili iliyopita serikali imetangazwa kwa mbwembwe zote kwamba mwezi nov tumekusanya 1.9t na mwezi dec 1.8t. kama kweli hofu yetu ni wale wanaotudai wakisikia tumelipwa $300 kama 700b+ watakamata mali zetu, je wakisikia tumekusanya 3t+ ndani ya miezi miwili si watakuja wakamate mpaka na wake zetu? Ni hivi, kama umeishiwa pumzi ya utetezi ni vyema ukakaa kimya kuliko kutumia sababu dhaifu kujenga utetezi wako.
Inaweza kuwekwa wazi kwenye mamlaka husika za udhibiti, anyway tuendelee kujadili nami najifunza kitu toka kwenu...siyo rahisi kwa masuala ya fedha kwa makampuni yaliyoorodheshwa ktk masoko ya mitaji ya mabeberu.
..tena wanaweza kuingia ktk matatizo na mamlaka za udhibiti [ regulatory authorities] kwasababu mikataba ya namna hiyo inachukuliwa kuwa ni RUSHWA.
Ni hivi unaweza kumuonesha mtu udhaifu wake akajiona mjinga yeye mwenyewe bila kuitwa mjinga.
Sio busara kuita watu wajinga, kwa mfano na mimi nikija na maneno makali utaona tunaanza kuhamisha mjadala wenye hoja zenye afya kuhusu mada kuu tutabaki na matusi, na hapo uliowalenga watakosa hoja zako nzuri.
Wakati mwingi ni rahisi mtu kufuata ushauri wako kama haujajaribu kumtweza utu wake, au niite hauja 'mdharirisha', mtu akiumizwa nafsi anakuwa mgumu kupokea ushauri wako na mtaishia uadui na ushindani usio na faida.
Jambo jingine lazima utambue suala la udhaifu wa hoja ya mtu ni mtazamo, unachokiona wewe ktk nafasi uliyopo na taarifa ulizo nazo unaweza kuona hoja yako ni ndio sahihi, lakini ukiwa sehemu nyingine au katka nafasi nyingine ambayo unaona hoja yake dhaifu unaweza kuona yeye aliona au alijua kitu sahihi na wewe hoja yako ilikuwa dhaifu kwa muktadha huo mpya.
Its about perspective, we view things from different angle, different perspectives.
Tafadhari sana mkuu nakuomba uangalie hiyo video ya mdau toka Harvard utajifunza kikubwa sana na kuanza kuheshimu mawazo ya kila mtu. Usisahu ku-switch on subtitles , captions.
Wewe itunze link au jina siku ukiwa ktk nafasi nzuri ya kuingalia ni nzuri sana, sio kwako na kwangu tu bali mtu yeyote hasa viongozi wetu.Kwanza samahani kwa kukukwaza, ila uzuri najua sasa utakuwa umeelewa namna ya kujenga hoja zako ukiwa nje ya box. Narudia tena samahani kwa kukukwaza. Pia nashukuru kwa hiyo clip yako, lakini nitashindwa kuipitia kwani MB ni chache.
Wewe itunze link au jina siku ukiwa ktk nafasi nzuri ya kuingalia ni nzuri sana, sio kwako na kwangu tu bali mtu yeyote hasa viongozi wetu.
Miga kwa lipi? Mmelipwa tril 425? Yaani madai yenu yalikuwa valid?Vipi Barrick hawajaenda MIGA?
Uhalali wa uwongo wa madai yenu kuwahadaa raia yanaukweli?Bwashee mbona tangu mkataba usainiwe umekuwa mtu wa kuhangaika hangaika kama kuku anayetaka kutaga?!
Mbona mwenzio Tundu Antipas Lisu ametulia!
Wewe subiri kula matunda ya mafanikio!Uhalali wa uwongo wa madai yenu kuwahadaa raia yanaukweli?
Nisubiri utapeli wa nchi kuwa na 16% na beberu mnawapa 84% kwa lipi? Hamna mitaji? Hamna watu wa kuchimba?Wewe subiri kula matunda ya mafanikio!
Hiyo ni ratio ya kawaida kwenye uwekezaji bwashee!Nisubiri utapeli wa nchi kuwa na 16% na beberu mnawapa 84% kwa lipi? Hamna mitaji? Hamna watu wa kuchimba?
Ccm mnaharaka ya nini miaka 59 mnashindwa kutoa elimu ya raia wenu wachimbe wenyewe mnauza madini kwa bei ya kutupwa na isiyo na faida. Kama sio ufisadi ni nini?Hiyo ni ratio ya kawaida kwenye uwekezaji bwashee!
Bwashee mbona tangu mkataba usainiwe umekuwa mtu wa kuhangaika hangaika kama kuku anayetaka kutaga?!
Mbona mwenzio Tundu Antipas Lisu ametulia!