Kwanini sishiki mimba?

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.

Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.

Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.
 
- Unaposema unapata hedhi kila tarehe 2 hapo kunaukakasi kidogo. Cha msingi elewa mzunguko wako ni wa siku ngapi na sio kujua unapata hedhi kila tarehe ngapi.

- Ukielewa mzunguko wako ni wa muda gani. Pia elewa jambo kuu la msingi kuwa yai uharibika baada ya siku 14 baada ya kupevuka (ovulation) ndio unapata hedhi. Na sio notion mlizonazo kuwa siku ya 14 ni ya kupata ujauzito baada ya hedhi, hii itakutesa ikiwa mzunguko wako si wa siku 28 ila itafanya kazi ikiwa tu mzunguko wa ni wa siku 28. Kama sivyo unaweza kupata ujauzito mapema zaidi kabla ya siku 14 au baada ya siku ya 14 Kama mzunguko wako ni mrefu.

- Elewa uwezo wa mbegu wa mumeo, wakati mwingine shida haipo kwako. Hii itakusaidia kujua uhai kusustain wa mbegu za mumeo. Isije ikawa hazina uwezo wa kuogelea. Hapa jambo la msingi elewa kuwa mbegu zinauwezo wa kukaa kwa muda 72. Yaani siku tatu. Kama una afya bora. Hivyo itakusaidia kujua wakati bora wa kufanya tendo.

- Elewa wakati sahihi wa kupata ujauzito kutokana na mzunguko wako.

- Kama una lengo la kupata ujauzito wa pili, historia ya mimba ya kwanza ni muhimu. Kama ulikuwa na changamoto basi onana na daktari ataweza kukushauri na kukupa supplements utakazotumia angalau kwa miezi mitatu kabla ya kupata ujauzito.

- Mwisho sio kwa umuhimu, Punguza stress, Usiwaze vikoba, Usiwe na hamu kubwaaa ya kuconceive..Relax wakati wa tendo.
Zingatia unachokula Kama unajiandaa kudaka.

- Maumivu yakizidi muone daktari.

Nakutakia utekelezaji mwema.
 
Sasa jamani mwezi mmoja tu unapagawa. Ingekuwa umeanza kujaribu hata miezi sita minimum ndio ujifikirie kuuliza swali

Ikipita miaka miwili unajaribugi tu ndio hapo sasa ungeanzisha uzi
 
achana na habari za tarehe muwe mnafanya randomly bila kufuata calendar... lakini kingine kapimeni afya zenu si ajabu kuna tatizo...

mimi sijui nina balaa gani mwanamke nikiweka tu sperm zangu zikagusa hata bahati mbaya hapo nje ya uke lazima kitunge... sijui kwasababu sina kitu hivyo Mungu ameamua kunipa zawadi ya watoto 🤣🤣🤣

na watoto wangu wote nimefanana nao...!​
 
Mpe mwenzio vyakula vya proteins ili azalishe hormones za kutosha,kingine ww mwenyewe unailamizisha hio hali so kiakili inakupunguzia upataji wa mimba,just take it normal.
But vyakula kwa Mzee baba ni muhimu sn utamkimbia Gari likiwaka moto kwa vyakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…