cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.
Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.