Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe,na kama tarehe hua zinafanana bas mzunguko wake sio wa siku 28 bali 30..hivyo hizo siku anazosema anakutana na mumewe sio siku sahihi za kupata ujauzitoNafikiri cha kwanza unatakiwa ujifunze kuhusu mzunguko wako! Haiwezekani upate hedhi kila mwezi tarehe ya kufanana!
Jaribuni tar 15,16,17 mpka 18Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.
Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.
Lipia tangazoachana na habari za tarehe muwe mnafanya randomly bila kufuata calendar... lakini kingine kapimeni afya zenu si ajabu kuna tatizo...
mimi sijui nina balaa gani mwanamke nikiweka tu sperm zangu zikagusa hata bahati mbaya hapo nje ya uke lazima kitunge... sijui kwasababu sina kitu hivyo Mungu ameamua kunipa zawadi ya watoto 🤣🤣🤣
na watoto wangu wote nimefanana nao...!
sio tangazo huo ndio ukweli wenyeweLipia tangazo
Kwanini mchague tarehe maalum ya sex?Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.
Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.
Mbona kifuko hua kinajaa kila siku.Kwa ushauri tu, mnaweza kuacha tendo kwa walau mwezi mmoja, kifuko cha mr kijae kidogo. Halafu wakati wa zile siku, mfanye mara 1 kwa siku, kwa siku 3 hivi. Inakupa chances zaidi
Mh!!Muambie mumeo akupelekee moto kils siku, mbona utakamata tyuuh
Binadamu hatufananiMbona kifuko hua kinajaa kila siku.
Kuleni vyakula sahihi mfurahie maisha ya ndoa.
PoleSiku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.
Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.
Pole sana,Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu.
Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu, alikuwa ana safari ivyo tulikuwa pamoja siku hizo mbili tu, by then nilitegemea nitashika ujauzito lakini zilivyopita siku 14 kila nikipima kipimo kinasoma negative,na sio Mara moja tu kila tukikutana tuna sex kwenye tarehe kama hizi kutokana na hefhi yangu.
Tuna sex Tarehe 12, 13, 14, 15... Lakini sishiki mimba. Nina mtoto mmoja nahitaji niongeze wa pili.
Wewe demu huwa unampelekea fire kila siku ?Muambie mumeo akupelekee moto kils siku, mbona utakamata tyuuh