Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Sisi tunasoma ili badae tukipata nafasi za kisiasa tunalazinike kuitwa dakta fulaniHuo ni utafiti wa kisayansi na sisi mambo ya utafiti hatujishughulishi nayo.
InasikotishaUngekuwa uzi wa kumjadili mdada wa jamii forum ungekuwa umefikisha wachangiaji 200.Hii nchi sijui nani alituroga.