Kwanini sisi Wanaume ni waongo?

Kwanini sisi Wanaume ni waongo?

ukiskiaaa zilee sifaa za kishambaa mr ebo alizo imbaaa ndo hizo....etiii chachaaaa MTOTO ANAKULAAA PILI PILI HUYUU..hizo sifaa za kishambaaaa
 
Mimi sijawahi kusema uongo hata kidogo, japo nimewasikia wengi wakisema ninayoyajua ni uongo mtupu....! Hivyo, sio wanume wote ni waongo, maana mimi ni mkweli kabisa....!


mbona kaka ushadanganya tayari kwamba, hujawah kusema uongo
 
Nadhani mianaume ndivyo tulivyo, tumeumbwa hivyo kutafuta misifa hata isiyokuwa na msingi!
 
si kweli kabisa rev. sijui ww huwa unakaa na nani hao?

Hahahah mkuu I need to scrutinize the people I hang out with..

Pia wanaume wengi wakiisha lewa wanaanza kujisifia usomi na kuweka kiingereza cha kuunga unga? ili mradi tu aonekana naye wamo
 
ILA KAMPANI ZA KABILA HIYO NINAZO... WENGINE HATA WANASIFIANA KWA KU-SHEA VIMWANA KATI YAO!!! NA WENGINE WANAJITAPA JINSI WANAVOCHIMBA MKWARA WAKE ZAO KISA WAMEGUNDUA NYENDO ZAO...TENA MBELE YA NYUMBA NDOGO...!!!!IKIFIKIA HAPO NAHISI KUPINDUA MEZA NA KUWASAMBAZIA KICHAPO!!:redfaces:
 
Back
Top Bottom