Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Binafsi ukiwa na ------ hayo wala sishobokei. Huo muda wa kuacha kupekechua papuchi kama nafunua kulasa na njoano ninao!Kitu potable bwana utaona raha yake kwani unachezea kama vile umeshikilia ndizi ya kutoka Kyera. CHEZEA KIMOBITEL WEWE
 
Kua uyaone .
Unene ni sifa kwa mwafrika.
Inatokana na hali halisi kwamba umaskini uliokithiri unafanya watu kushindwa kumudu
hatab mlo mmoja kamili na hivyo kuwa vigumu kunenepa.Katizame vijijini watu walivyopandisha kenchi!
Mijini ( mara nyingi)ndiko utakutana na wanene, ikiwa ni kipimo cha kujimudu kilishe kutokana na uchache/fedha.
Unene kwa wanaume nao ni kipimo cha mafanikio.Wenye vitambi ndio huonekana mapedejee!
tuwaache watu na unene wao bila kuwanyanyapaa.Ukitaka mnene ruksa..mwembamba ruksa.Tusinyanyapae watu kutokana na maumbo yao.Uchafu ni hulka isiyotokana na unene/wembamba.Uzembe nao ni hulka isyozingatia unene/wembamba.
 
wanene na wenye makalio makubwa wanalingia maumbo yao wakidhani wanaume watawashobokea, tena wanalinga sana ujue wanaume hawapendi wanawake wanaojiona wajuaji wa kila kitu.
 
We mwanamke manyama yamejikunjakunja, tumbo limekatika mara tatu, mapaja tu yame-conceal the thing between the legs, matiti ndio watermelons mhhh mi hapana hata bure sitaki.
Mwanamke uwe unaweza hata kumbeba bana, slim au mnene kiasi tu!
 
Binafsi ukiwa na ------ hayo wala sishobokei. Huo muda wa kuacha kupekechua papuchi kama nafunua kulasa na njoano ninao!Kitu potable bwana utaona raha yake kwani unachezea kama vile umeshikilia ndizi ya kutoka Kyera. CHEZEA. KIMOBITEL WEWE

Kyela kuna ndizi!!!!!!!!!!?
 
ila kuna turbo nyingine kwenye 6x6 zinachakalika kuliko maelezo.
Halafu nasikia wengi wa maturbo wakishakuwa tayari kwa safari kuupanda mlima kilimanjaro ile njia ikiwa na majimaji + unene so badala ya njia inakuwa barabara paaana. utamu unapungua... inakuwa free way..
sio kwa wote.kwa baadhi...
 

Weka picha kwanza tuone
 
wenye makalio makubwa hupendwa na wengi kwaajili ya show tyme 2. so wanaume wengi wanahofu kuibiwa mali zao na huhofia ugonjwa wa moyo!
 
Viportable wenzagu hoyyee...mana naona tuna soko wen it comes to marriage
 
Kama mie nimeliacha libonge juzi,awali alikuwa na umbo zuri yerewiiiii alipopata kazi dudu et,halafu lina kiburi.
 
tricecriss 14:48 28th July 2013
By Miwatamu:
Binafsi ukiwa na ------ hayo wala sishobokei. Huo muda wa kuacha kupekechua papuchi kama nafunua kulasa na njoano ninao!Kitu potable bwana utaona raha yake kwani unachezea kama vile umeshikilia ndizi ya kutoka Kyera. CHEZEA. KIMOBITEL WEWE
Kyela kuna ndizi!!!!!!!!!!?

Zipo sana,specie kama Kambani,mwamnyila nk
 
Habari wana jamvi!binafsi nawakubali sana wadada wanene.Ila wanapaswa kufanya mazoezi ya kutosha ili unene usizidi sana maana ni hatari kwa afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…