Tukunyema la nini mzigo hawajuo staili hao ukimkunja kidogo tu atahema ka bata! Mi na mabonge tofauti kabisa nikiona kipotable tu huwa nabaki hoi kwanza! Ukute anajua manyengo! Weeeeeeh!
Mwanamke wa namna hiyo anataka mwanaume anayejishughulisha na mazoezi, sasa wanaume wengi siku hizi hawana muda huo kwahiyo wanaona bora kupunguza shari.
oyeee kdumu chama cha ma-portable!.
Tatizo mmezxidi kugawa, hata ukiolewa miongoni mnasaliti sana ndoa zenu. Katika mademu warahisi kutongoza ni wenye maumbo hayo. Kitu kingine matakooo yenu yamekuwa kivutio kwa wanaume wengi na nyinyi kuona ni sifa sasa kila mtu mnamwachia abofye awezavyo.
mimi nachojua hawa wanawake wenye buster kubwa ni kivutio saana cha wanaume wengi maana kila kidume anataka aonje ili ajue ladha ya hiyo turbo v8 ukitaka kujua hili wee angalia mahali wapo group ya wanaume alafu apite demu aliyejazia huko nyuma utaona woote wanageuka kumwangalia hata kama kuna wababu hapo lazima nao wageuke kuangalia huo mzigo uliobwebwa. hii hali inawafanya waoaji wengi kufeel insecure kuwa na mwanamke wa dizain hiyo maana wanahisi wanaume wengine wanammendea.
NB:
Wanawake wenye buster kubwa ndio wanaoongoza kuwa na ALBANUUN FILHAYAT DUNIA tamu ndogo na moto kuliko madem wembamba sasa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya kiintelejensia zilizoto mtaani .[/QUNiliongozana na staffmate mwenye umbo hilo maeneo ya ubungo bus terminal. Daaaaah! Kilichotokea ilibidi tu nimuombe tupande bajaji kuficha hizo nyama zake zilizoota huko makalioni.
Mkuu upo sahihi 100%.
Niliongozana na staffmate mwenye umbo hilo maeneo ya ubungo bus terminal. Daaaaah! Kilichotokea ilibidi tu nimuombe tupande bajaji kuficha hizo nyama zake zilizoota huko makalioni.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.