Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
duh too much bana unachambua kihivyomnajidhalilisha. hivi unafikiri mwanaume gani utampa 0713 halafu akuoe?. sio wote wanene ambao hawaolewi, wanao jielewa wameolewa. mabonge wengi wavivu. unakuta ananawa miguu, mikono na uso kisha anaondoka bila hata kuoga sana sana atajipulizia manukato. acheni kujirahisisha. mabonge nmapenda kula ovyo ovyo, mahindi,karanga,papai, twist, parachichi, soda nk tena barabarani huku akitembea. mtu bonge nyama zimebebana kiasi kwamba akioga inabidi awe anainua nyama za tumbo na kusugua vingenevyo atanuka. mia
Hahaha!
Sasa kama vijana hawatufati tufanyaje?
Tunaamua tu kujilipua na mibaba.
Hahahaaaa....samahani mkuu. Wanene nawapenda ila nawasema ili wasibweteke. Watu wanene hawana wivu wa kijinga, hawajioni, wengi wapole, wasikivu, wana adabu. Samahani nlipokukwaza mkuu. Miaduh too much bana unachambua kihivyo
Sasa we mwili mkubwa, kalio kubwa na mara nyingi wa hivi, na nyonyo nayo huwa kubwa, hivi ukinikumbatia mimi kimbaumbau si utaonekana umelala peke yako? Halafu huo mkumbatio unaweza ukanikosesha pumzi na mwisho nikafa.... Sasa kujiepusha na kifo nawakwepa
Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k