Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Hii mada ni pana sana,jamani v8turbocharge ina raha sana kuiendesha,Ila gharama ya service yake balaa,ukipita nayo mtaani wanaume shingo feni je ukimiliki moja kwa moja! Unakaribisha BP bure.pia wanadai ni rahisi kutumia 0713 hawasumbui.