Sasa we mwili mkubwa, kalio kubwa na mara nyingi wa hivi, na nyonyo nayo huwa kubwa, hivi ukinikumbatia mimi kimbaumbau si utaonekana umelala peke yako? Halafu huo mkumbatio unaweza ukanikosesha pumzi na mwisho nikafa.... Sasa kujiepusha na kifo nawakwepa
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI.
mimi nachojua hawa wanawake wenye buster kubwa ni kivutio saana cha wanaume wengi maana kila kidume anataka aonje ili ajue ladha ya hiyo turbo v8 ukitaka kujua hili wee angalia mahali wapo group ya wanaume alafu apite demu aliyejazia huko nyuma utaona woote wanageuka kumwangalia hata kama kuna wababu hapo lazima nao wageuke kuangalia huo mzigo uliobwebwa. hii hali inawafanya waoaji wengi kufeel insecure kuwa na mwanamke wa dizain hiyo maana wanahisi wanaume wengine wanammendea.
NB:
Wanawake wenye buster kubwa ndio wanaoongoza kuwa na ALBANUUN FILHAYAT DUNIA tamu ndogo na moto kuliko madem wembamba sasa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya kiintelejensia zilizoto mtaani .
Duuuuh!!balaa kubwa!
Hii mada ni pana sana,jamani v8turbocharge ina raha sana kuiendesha,Ila gharama ya service yake balaa,ukipita nayo mtaani wanaume shingo feni je ukimiliki moja kwa moja! Unakaribisha BP bure.pia wanadai ni rahisi kutumia 0713 hawasumbui.
Acheni kutuonea wivu na maumbo yetu ya ukweli. We nani hadi ukosoe kazi ya Muumba? Mwenyewe ana makusudi yake kuniumba hivi. Na mbona wanakimbia kwa hao vimbaombao wanakimbilia kwetu na wakija hawarudi huko ng'o. Loh mwenzenu nimefunga hebu msiniharibie swaum.
View attachment 104092
Unene unaouzungumzia ni kama huu au? Kama ndio kuweka ndani inahitaji moyo maana hapo bosi, jirani, viongozi wa sirikali mpaka wa dini, houseboy, mpaka lecturer wanautolea macho huo mzigo!
Nimeku pm hujajibu, sasa nikusaidieje?
wew kwanz ulyeleta mada nza kunitongoz mie no. yang 0758223444 nikupe tiba ya tatzo lako nmemalza chuo, miaka yang 24 na cna mpenz
USIPOFANYA HIVYO MTOA MADA UNATUZUGA