Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

Sasa we mwili mkubwa, kalio kubwa na mara nyingi wa hivi, na nyonyo nayo huwa kubwa, hivi ukinikumbatia mimi kimbaumbau si utaonekana umelala peke yako? Halafu huo mkumbatio unaweza ukanikosesha pumzi na mwisho nikafa.... Sasa kujiepusha na kifo nawakwepa

haha we jamaa umenichekesha kweli du.
 
Mi nadhani kwa muonekano wao wakiwa wamevaa nguo wanavutia, lkn wakivua nguo wanatisha kwa kweli. Lkn sababu nyingine ya kutoolewa ni kuwa wengi wao ni wavivu sana na wachafu. Hii inatokana na uzito wao. Hii ya uchaafu nime iprove hapa kwangu nilikuwa na house maid mwenye mitako mikubwa ya kuvutia na aliyekuwa akipigiwa miluzi kila apitapo. Lkn cha ajabu alikuwa msafi wa muonekano wa nje tu, nilikuwa nikiingia chumbani kwake nakuta machupi yake ya breed ya miezi iliyopita hayajafuliwa, chumba kinanuka balaaaa. hata baadhi ya nchi zilizoendelea ukiwa mnene au bonge nyanya, ni ngumu sana kupata kazi/ajira wakiamini kuwa wewe ni mvivu
 
Watu wanahisi mmeyatumia vibaya hayo mambo yenu ndio maana wanawaweka vimada ili na wao wajaribu kama kweli
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.

Mbona mm ndio nawapenda nyinyi
 
wew kwanz ulyeleta mada nza kunitongoz mie no. yang 0758223444 nikupe tiba ya tatzo lako nmemalza chuo, miaka yang 24 na cna mpenz


USIPOFANYA HIVYO MTOA MADA UNATUZUGA
 
PIA nyie wenyewe mnfikiria makalio au unene ni deal. Mnadengua au kulinga, jamaa akipasha anasepa zake. PIA mna demand Sana hela mkidhani nyie ni wazuri.
 
Sababu zote ulizotoa si sahihi. Mazingira ya mwanamke kutokuolewa awe mnene au mwembamba yako mengi.
Cha kwanza jiangalie tabia yako mahali unapoishi au unapofanyia kazi. Kuanzia mavazi, maongezi yako, marafiki zako ni watu wa aina gani.
Pili yawezekana eneo unaloishi au kufanyia kazi kuna upungufu wa wanaume wenye kuendana na haiba yako hivyo badili mazingira ya kutembelea mara kwa mara na kukutana na watu tofauti tofauti. Mfano penda sana kuhudhuria ktk nyumba za ibada, ktk sherehe na kila mahali ambapo watu wengi hukusanyika. Hakuna mwanamke mwenye umbo lolote asiyeweza kupata wa kumridhi.

Lakini kikubwa kuliko vyote wewe bado ktk swala hili haujamshirikisha mungu. Hakuna kiumbe kilichoumbwa peke yake bila msaidizi au mwenza hata wadudu.
Piga magoti mweleze mungu haja yako na hakika mungu atamleta kwako aliyekusudiwa kutoka pande zote za dunia na utapata mshangao.
 
mimi nachojua hawa wanawake wenye buster kubwa ni kivutio saana cha wanaume wengi maana kila kidume anataka aonje ili ajue ladha ya hiyo turbo v8 ukitaka kujua hili wee angalia mahali wapo group ya wanaume alafu apite demu aliyejazia huko nyuma utaona woote wanageuka kumwangalia hata kama kuna wababu hapo lazima nao wageuke kuangalia huo mzigo uliobwebwa. hii hali inawafanya waoaji wengi kufeel insecure kuwa na mwanamke wa dizain hiyo maana wanahisi wanaume wengine wanammendea.

NB:

Wanawake wenye buster kubwa ndio wanaoongoza kuwa na ALBANUUN FILHAYAT DUNIA tamu ndogo na moto kuliko madem wembamba sasa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya kiintelejensia zilizoto mtaani .

Duuuuh!!balaa kubwa!
 
Mkuu pole maana ulivyomalizia post yako umetokwa na povu km lile la kule chini yaani
 
Hii mada ni pana sana,jamani v8turbocharge ina raha sana kuiendesha,Ila gharama ya service yake balaa,ukipita nayo mtaani wanaume shingo feni je ukimiliki moja kwa moja! Unakaribisha BP bure.pia wanadai ni rahisi kutumia 0713 hawasumbui.

Mhhhh!! Tehe! Tehe! Tehe! Tehe!! Kumbe Eeeee!!!!!!?? Nimekusoma Mkuu!!!
 
Ila Mi Ndio Mambo Yangu, Lkn Hilo Makalio Yawe Ya Kawaida Tu, Sio Mtaani Kila Mtu Jicho KWAKE!! Mzigo Wa Kishikaji Na Nyama Za Kutosha Kimtindo, Sio Hata Kumbeba HAIWEZEKANI!! Jmn Hao Vimodo Wenu Mi TOFAUTI, Hata Nyama Ya KUSHIKA HAKUNA!! Mifupa Tupu, Ukikabeba Kama Katoto Kako!!! Nooo!! Silinda 6 Ndio YENYEWE!! Sio Silinda 8 Au 4!!!! Tehe! Tehe! Tehe!! UKITAKA Kula Kitimoto Kula Aliyenona, Ili Ukiambiwa Wala Hiyo Kitu, Basi Uwe Umefaidi!! Sio Mdhaifu, Ukaambulia Shombo Tu!!
 
Acheni kutuonea wivu na maumbo yetu ya ukweli. We nani hadi ukosoe kazi ya Muumba? Mwenyewe ana makusudi yake kuniumba hivi. Na mbona wanakimbia kwa hao vimbaombao wanakimbilia kwetu na wakija hawarudi huko ng'o. Loh mwenzenu nimefunga hebu msiniharibie swaum.

Tehe! Tehe! Tehe!! KWELI Mwaya!! Ila Mfanye Mazoezi Jmn!! Wengine 2 Much Bhana!! Ktk Mchakamchaka Ule Nje!! Poo KIBAO!!!
 
View attachment 104092

Unene unaouzungumzia ni kama huu au? Kama ndio kuweka ndani inahitaji moyo maana hapo bosi, jirani, viongozi wa sirikali mpaka wa dini, houseboy, mpaka lecturer wanautolea macho huo mzigo!

Duuuhh!!! Huo Mzigo Hapana, Hata Kama Atakuwa Amenizimikia Yeye!!! Wanajivunia Urembo Wao!! Hao Wanatamaniwa Na Kila Kidume Rijali!! Wana Tamaa Mno Na Wengi Wao Uona Maumbile Yao Na Uzuri Wao Ni Capital!!! Hivyo Na Wanaume Wengi Ufanya Nao Biashara Tu Basi!!! Nani Anataka Usumbufu Na Pressure!!?
 
wew kwanz ulyeleta mada nza kunitongoz mie no. yang 0758223444 nikupe tiba ya tatzo lako nmemalza chuo, miaka yang 24 na cna mpenz


USIPOFANYA HIVYO MTOA MADA UNATUZUGA

Duuuh, naona unakazia kwa vitisho vikali. Tutaomba utupe mrejesho akishatii utakavyo.
 
Back
Top Bottom