Kwanini sisi wapare hatujui football?

Kwanini sisi wapare hatujui football?

Moto anatakiwa apate muda wa kutosha kuwa huru acheze sana mpira ili awe fundi

Wazazi wengi upareni mtoto ni kazi kazi full under control. Usipofanya kazi za familia unaweza usile

Pwani watoto hawapewi sana kazi na wazazi wao. Mtoto anatafutwa ili ale.
Hivyo anakuwa na muda wa kutosha kujifunza mpira na mengineyo.

Ndio maana vijana wa kiume wa pwani wanna vipaji sana vya nje ya masomo. Na wanafanikiwa sana

Hata mabinti wa pwani ni mafundi KWA vile ukiachana na mafunzo ya unyago,hawabanwi sana katika ukuaji wao
 
Hahaha, na kweli sijawahi sikia mchome, mbaga, mndeme. Ila nadhani hata wachaga na wamasai ni wachache, mara chache sana kusikia Lymo, mushi, saitoti, Mollel... Nadhani kaskazini na mpira kidogo ni changamoto.
Mchaga yupo alishawahi kuwa kampteni wa taifa stars , tena bado mzima mpaka leo ni mzee alishawahi kuishi Tnga miaka ya nyuma .
 
Back
Top Bottom