Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mfumo wa ElimuTatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Ila makebo hata yanapokuwa gizani wanayaona 😜Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Tupatie maelezo kidogoGugo kitu kinaitwa mpemba effect
Hata Hajui 😆Gugo kitu kinaitwa mpemba effect
Umekuwaje?Mfumo wa Elimu
Tatizo ni nini?Ila makebo hata yanapokuwa gizani wanayaona 😜
Kwa nini tusiweze?Mnaweza kwanza?
Vitu gani tulivyo vumbua?Tumesha vumbua... Vingi mbona.
Wanavumbua vitu rahisi rahisi 😜Tatizo ni nini?
Imesaidia nini, maji ya moto kuganda haraka kuliko ya baridiHata Hajui 😆
Inawezekana huu ugali wa mahindi ninaokula, umedumaza akiliWewe tayari ni mvumbuzi
Ume vumbua kuwa watu weusi hatuvumbui vitu
Inabidi tujiulize, ndege inaeleaje angani huku ikiwa imebeba mzigo wa tani 10? haya ya kujenga pyramid hayana mashiko wala tija.Yale Ma- pyramid walijenga wazungu !? Ukajifunze kuhusu civilization from kemet utaelewa zaidi