StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Ulichokiuliza hapo mwishoni kinaonesha wazi kwamba akilini mwako unaamini ugunduzi umekoma na kwamba kuna kizazi kilishagundua kila kitu tayari. Na kwa mtazamo huu huwezi kunielewa!Mfano wa topic gani ambayo kwenye mtaala wetu haipo,
Sijasema ugunduzi umekoma ila ninachosema hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu ya darasani kule tunafundishwa ujuzi au ufahamu wa vitu vilivyokwisha kugunduliwa ila sasa ukishaelewa unaweza endeleza (innovation) hata vitu vingi tunavyovisoma ni ugunduzi wa watu waliofanya research wakajua mambo mbalimbali kuhusu dunia na vilivyomo je hao wenyewe walikuwa na elimu gani kabla ya kuandika?
Ni sawa lakini hoja yangu ni kuwa ni wote wanaosoma cambridge university wamegundua vitu? Je hatuna wasomi waliosoma hivyo vyuo na bado hata kiwembe cha kukatia kucha na stick za kuchokonolea meno hawawezi gundua? Hapo utaona kilichomfanya isaac Newton kugundua vitu sio shule pekeake ila kuna u-genius upo kichwani mwake ambao umemfanya kufika hapoSir Isaac Newton alisoma University of Cambridge's Trinity College
Albert Einstein alisoma ETH Zurich (then the Swiss Federal Polytechnic School), the Aarau high school in Switzerland, and the Luitpold Gymnasium in Germany.
Pia gunduzi nyingi zimefanywa na wasomi kuliko ambazo hazijafanywa na wasomi
Nakuelewa mkuu ila fact ni kwamba shida sio mfumo wa elimu tulionao kwani duniani mitaala inarandana tofauti ni miundo mbinu na uwekezaji kwenye hicho kinachofundishwaUlichokiuliza hapo mwishoni kinaonesha wazi kwamba akilini mwako unaamini ugunduzi umekoma na kwamba kuna kizazi kilishagundua kila kitu tayari. Na kwa mtazamo huu huwezi kunielewa!
Lini tutakuwa complete?Watu weusi ni incomplete human being.
Tatizo la hili ni nini?Sisi tumejaliwa kuvumbua still za mapenzi mbuzi kagoma kifo cha mende na mengine jazia
Ni nani wa kulaumiwa kwenye hili?Huo ugunduzi utafanyika saa ngapi ikiwa watu wapo busy kufuatilia ujinga ujinga?
Mabadiliko yeyote huanza kwa kubadilisha mindset,
Attitude,beliefs and way of thinking that shape how you see yourself and the World,
Sasa hivi wapo busy kujadili issue ya Doto Magari,ikiisha hii issue,wataletewa Kiki nyingine, na maisha yanaenda na siku zinasonga mbele.
Nini kifanyike ili tutoke hapo?Sbabu ni uwezo mdogo wa kiakili. Chanzo cha uwezo mdogo wa kiakili ndio bado hakijajulikana ila huenda imechangiwa na mambo mengi ikiwemo lishe mbovu, kutawaliwa muda mrefu, matumizi ya bidhaa zenye ubora duni zinazoharibu uwezo wa kiakili n.k.
Watu wachache wenye akili nzuri wakizungukwa na watu wengi wenye akili mbaya matokeo jumuishi ni kuwa wote wataenda sawa, akili mbaya. Kama tungeweza, tungeweka utaratibu kama wa "Genius Visa", kwamba tunaweza toa visa ya mtu kuingia na kukaa nchini kwa exemptions fulani fulani as long as huyo mtu ana akili ya kitofauti ambayo tunaweza kuitumia kutatu matatizo yetu hapa nchini.
Kuna matatizo ya kawaida kabisa ambayo shida yake sio bajeti ila ni akili bunifu ambayo huenda tukiwa honest tukubali kuwa hatuna. Matatizo ya upatikanaji wa maji safi kwenye mikoa yenye vyanzo vikubwa kama Mwanza, Geita na Kagera, matatizo ya foleni, matatizo ya upatikanaji wa huduma za umeme. Imagine mkoa muhimu kama Dar kuna maeneo maji yanatoka kwa wiki mara moja, huu mwaka 2026.
Si umeona tu hata ujenzi wa mabarabara inabidi tulete wachina maana watanzania wenzetu wakijenga baada ya miezi sita mashimo yanajaa.
Umeona pia nchi kama South Africa ambayo wazungu walibaki na wameshika maeneo mengi muhimu ya kiuchumi na kiutawala, leo South Africa imejengwa kama Ulaya. Nchi kama Zimbabwe au Uganda ambayo walifukuza wazungu, nadhani wote tunajua zilivyo kwa maana ya hali ya maisha na upatikanaji wa huduma za kijamii.
Naomba kuwasilisha.
Kwa sasa, ni nini kinacho tukwamisha?Watu weusi wapi, mbona kuna watu weusi huko kwa wenzetu wamefanya makubwa. Na kuna mnaowaita weupe huku kwetu hawajafanya lolote pia. We sema tu Afrika.
Afrika inasota kutokana na ujinga wa mababu zetu walioingizwa kingi na wakoloni, wahuni waliobeba mataifa ya Afrika baada ya uhuru bandia, na ukoloni mambo leo. Mambo ni yaleyale, ipo wazi mbona.
Aina ya malezi anayo lelewa mtoto, toka anapozaliwa mpaka makuzi yake.Ni nani wa kulaumiwa kwenye hili?
Kuitetea hoja yako, njoo na vumbuzi ulizofanya.Inferiority complex at its best,
Thread iitwe Inferiority complex and white supremacy at its primacy Escalated By equation X ,
Huku kwetu, hayo majukwaa ya innovation na invention yapo?Majukwaaa yakuonesha innovation ndo yanaanza na mengine bado machanga kabisa
Umevumbua nini?Mi nimevumbua mbona baada ya tafiti ya kisayansi ukitaka publication sema nikutumie
Uvumbuzi ni nini?Kuitetea hoja yako, njoo na vumbuzi ulizofanya.
Ni mchakato wa kuunda, kugundua, au kutengeneza kitu kipya au mbinu mpya ambayo haikuwepo hapo awaliUvumbuzi ni nini?
Tuanzie hapa
Hayo ni maelezo tu; kwa nini hatuvumbui?Uvumbuzi ni mchakato wa kuunda, kugundua, au kutengeneza kitu kipya au mbinu mpya ambayo haikuwepo hapo awali. Ni dhana inayolenga kutoa suluhisho la kipekee na lenye manufaa kwa jamii kwa mara ya kwanza.
Ili kuelewa zaidi maana na tofauti za dhana hii, mambo yafuatayo ni muhimu:1. Tofauti kati ya Uvumbuzi (Invention) na Ubunifu (Innovation)Ingawa mara nyingi hutumika kwa pamoja, maneno haya yana maana mbili tofauti:
Uvumbuzi (Invention): Ni kitendo cha kufanikiwa kuunda au kugundua kitu ambacho hakikuwahi kuwepo kabisa duniani, kama vile balbu ya mwanga au chanjo.
Ubunifu (Innovation): Huu ni utekelezaji wa kuboresha kitu au huduma ambayo tayari ipo ili iwe na tija zaidi, rahisi kutumia, au yenye thamani zaidi.
2. Aina za UvumbuziTeknolojia: Ugunduzi wa vifaa vipya, mashine, au mifumo ya kidijitali.Mbinu na Michakato: Uvumbuzi wa njia mpya za kufanya mambo (kama vile njia mpya za kilimo au matibabu).Sayansi: Ugunduzi wa kanuni mpya za kisayansi, dawa, au vitu vya asili.
Unao uhakika kwamba hatuvumbui?Hayo ni maelezo tu; kwa nini hatuvumbui?
we dume unasema nini?Ila makebo hata yanapokuwa gizani wanayaona 😜