Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Weka hapa invention kutoka Tanzania kutokana na changamoto zetu kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji n.kVimevumbuliwa vitu vingi tu , ila wewe mvivu kutafuta.
Hujui kuwa hata GPS ilivumbuliwa mna mmarekani mweusi , tena mama.
Friji ilivumbuliwa na mtu mweusi.
View attachment 3638624
View attachment 3638628
Japan walivumbua huu mfumo wa kupunguza Road traffic mwaka 1996Kwa mantiki hiyo hiyo, New York, Tokyo, na London zina foleni kubwa na za kutisha kila siku—je, hiyo inamaanisha Wamarekani au Wajapani hawana uwezo wa kuvumbua vitu? Hii ni logical fallacy (kosa la kimantiki).
Huna akili weweVimevumbuliwa vitu vingi tu , ila wewe mvivu kutafuta.
Hujui kuwa hata GPS ilivumbuliwa mna mmarekani mweusi , tena mama.
Friji ilivumbuliwa na mtu mweusi.
View attachment 3638624
View attachment 3638628
Ukoloni mambo leoKwa sasa, ni nini kinacho tukwamisha?
Tutawasingizia wazungu, ila matatizo mengine tunajisababishia sisi wenyewe.Ukoloni mambo leo
Sasa hapa ndio amegundua kipi tunataka mtu agundue nyenzo yamaishaMpemba Effect = maji ya moto wakati mwingine huganda kuwa barafu haraka zaidi kuliko maji ya baridi 😱
Inaitwa hivyo baada ya mwanafunzi wa Tanzania Erasto Mpemba 1963. Alikuwa akitengeneza ice cream shuleni Morogoro na kugundua hili.
Inafanyaje kazi? Hakuna jibu 1 kamili, ni mchanganyiko wa vitu 5:
1. KUPOZA KWA KASI "Evaporation"
Maji ya moto yana mvuke mwingi. Yanapowaka yanapoteza maji mengi hewani.
Mfano: lita 1 ya moto inaweza kubaki lita 0.9. Ni maji kidogo sasa ya kugandisha, hivyo inachukua muda mfupi.
2. TOFAUTI KUBWA YA JOTO "Convection"
Maji ya moto na friza ni tofauti kubwa sana. Hii inafanya maji yatembee ndani kwa ndani kwa nguvu.
Maji ya moto chini yanapanda juu, ya baridi yanashuka. Hii inasambaza joto haraka sana.
3. GESI ZILIZOYEYUKA ZINATOKA
Maji ya baridi yana hewa nyingi ndani yake. Hewa hiyo inafanya iwe "insulator" - inazuia kupoza.
Maji ya moto yakichemka, hewa hiyo yote inatoka. Sasa maji yanapata mawasiliano moja kwa moja na friza na kupoza haraka.
4. SUPERCOOLING - "Kusita kuganda"
Maji ya baridi wakati mwingine "yanasita" kuganda hata chini ya 0°C. Yanangoja chembe ndogo ya vumbi ili kuanza kuganda.
Maji ya moto hayana uchafu huo, hivyo yanaanza kuganda moja kwa moja.
5. FRIZA INAFANYA KAZI NGUVU ZAIDI
Ukiweka bakuli la moto kwenye friza, friza inasikia joto na compressor yake inaanza kufanya kazi nguvu.
Hii inabaridisha sehemu yote ya friza haraka, na hivyo inabaridisha na yale maji ya moto haraka pia.
Muhimu kujua:
Mpemba Effect HAITOKI KILA MUDA. Inategemea na:
1. Chombo unachotumia - chuma au plastiki
2. Kiasi cha maji
3. Joto la friza yako
4. Kama maji yana klorini au la
Wanasayansi bado wanapigana kuhusu ni sababu ipi ndio kubwa zaidi.
Jaribio rahisi nyumbani:
Chukua vikombe 2 sawa. Weka kikombe 1 maji ya moto ∼80°C. Kikombe 2 maji ya bomba ∼25°C. Weka kwenye friza pamoja. Angalia ni ipi inaganda kwanza. Mara nyingi ya moto inashinda.
Unataka nikupe video fupi ya jaribio hili au tujaribu kuelezea kwa mlinganyo?
Makubwa yap mkuu ukiondoa michezo hakuna sekta yakutumia akil ambayo tumewin wazunguAfrica hakuna mazingira Bora yatakayokufanya ufikirie mambo makubwa, hakuna support za uhakika kuendeleza potential za watu. Ila naamini watu weusi Wana akili nyingi. Ndio maana unaona black people waliozaliwa America au Europe wanafanya mambo makubwa kuliko hata wazungu.
Pambaf!Huna akili wewe
Unamjua Bradford Parkinson kwenye GPS? hebu ingia hata Google hapo sio unakuja hapa kuongea uongo wako mbele ya wanaume wazima wenye akili timamu kama sisi.
Matacore yakoPambaf!
Na pambaf zaidi kwa kujidharsu mwenyewe
Google Gladys West, akili yako ipate ufahamu.
The Black woman whose mathematical calculations of the shape of the Earth laid the foundation for the Global Positioning System (GPS) is Gladys West.
Huyo kijana anajiita mwalimu mwanafunzi.Mfano wa topic gani ambayo kwenye mtaala wetu haipo,
Sijasema ugunduzi umekoma ila ninachosema hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu ya darasani kule tunafundishwa ujuzi au ufahamu wa vitu vilivyokwisha kugunduliwa ila sasa ukishaelewa unaweza endeleza (innovation) hata vitu vingi tunavyovisoma ni ugunduzi wa watu waliofanya research wakajua mambo mbalimbali kuhusu dunia na vilivyomo je hao wenyewe walikuwa na elimu gani kabla ya kuandika?
Kwa mfano?Tutawasingizia wazungu, ila matatizo mengine tunajisababishia sisi wenyewe.
Huna akili huna skili tu mk.ndu wako.Matacore yako
Unakuja kuongea upumbavu hapa
Kwanza GPs haikugunduliwa na mtu mmoja jinga wewe
Unalazimisha ionekane nyani nao wamewahi kutoa mchango wowote kwenye Gunduzi Kwa lazima.
Nimekupa challenge Moja, nitajie ugunduzi Ambao watanzania wameufanya kutokomeza kama sio kupunguza foleni ya Dar.
Kama Kupunguza malori mjini kumewashinda mtaweza complicated inventions kweli nyie.
Shwain wewe
Matatizo ya Afrika yanasababishwa na sababu kuu tatu.Kwa mfano?
Huku Singida mjini kuna mdada wa KingoniMatacore yako
Unakuja kuongea upumbavu hapa
Kwanza GPs haikugunduliwa na mtu mmoja jinga wewe
Unalazimisha ionekane nyani nao wamewahi kutoa mchango wowote kwenye Gunduzi Kwa lazima.
Nimekupa challenge Moja, nitajie ugunduzi Ambao watanzania wameufanya kutokomeza kama sio kupunguza foleni ya Dar.
Kama Kupunguza malori mjini kumewashinda mtaweza complicated inventions kweli nyie.
Shwain wewe
Hatujitangazi na kujulikana.Hii inathibitisha kinachotukwamisha sisi, inawezekana ni mazingira; unasemaje kuhusu hilo?
Kwa nini yule nyoka walimuita black mamba?Pambaf!
Na pambaf zaidi kwa kujidharsu mwenyewe
Google Gladys West, akili yako ipate ufahamu.
The Black woman whose mathematical calculations of the shape of the Earth laid the foundation for the Global Positioning System (GPS) is Gladys West.
Mpemba effect kwani ni uvumbuzi (invention) au ni theory au hata law au principle?Gugo kitu kinaitwa mpemba effect