Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Tatizo ni nini?Kwani mkuu
1. Timu 1 kwenda kunya kwenye jengo/uwanja wa timu nyingine nani amegundua?
2. Tume ya uchaguzi kupendelea waziwazi chama fulani nani kugundua?
3. Chips yai zege nani kugundua
4. Uchawi wa kumuua mtu aliyekuzidi mali nani kugundua?
Tatizo ni ubongo wetu au ni nini?Wanavumbua vitu rahisi rahisi 😜
Mfano kutengeneza Visungura.
Hapa serikali inabidi itusaidie 😜Tatizo ni ubongo wetu au ni nini?
Ni nani wa kulianzisha hili?Research and Development. Nchi inatakiwa kuwezesha mazingira ya mtoto kuendeleza kile alichojifunza shuleni. Tunasomesha watoto shule za sayansi lakini akimaliza shule, ni wapi ataweza ku apply kile alichosoma? Ilitakiwa kuwe labs, karakana, mashamba darasa nk.
Vitu gani walivyo vumbua?Wabongo wamevumbua vingi sema hakuna exposure tu
Ungekuwa wewe ndio mwenye mamlaka ungefanya nini?Hapa serikali inabidi itusaidie 😜
Kwa mfano, ukiwekwa mdahalo wa kuchuana kati ya wazungu na waafrika kwenye mada yoyote ile, kati ya maksi 10, waafrika watapata ngapi?Mazingira
Vyakula
Asili
Vimeathiri uwezo wa mtu mweusi kufikiria(Low cognitive ability)
Average IQ ta watu weusi West africa,East,north, south, sio sawa..pia ukifananisha na watu weusi walio zaliwa ulaya or Marekani ni zaidi ya wa Africa waliopo Africa
Hata wazungu sio wote wanavumbuaTatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Ila Afrika Bwana, Masters zote, PhD zote na Prof zote nizakutafutia Mshahara Tu🤣🤣🤣Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Nguo ulizovaa zimetengenezwa wapi?Hata wazungu sio wote wanavumbua
Urafiiki IndustriesNguo ulizovaa zimetengenezwa wapi?
Tatizo ni nini?Ila Afrika Bwana, Masters zote, PhD zote na Prof zote nitakutafutia Mshahara Tu🤣🤣🤣
ChakulaTatizo ni nini?
Sasa swali la kwenye post na ulilouliza hapa ni vitu viwili tofauti,watakao shinda ambao wana uelewa wa mada husika,wanaweza kushinda waafrika au wazungu,..Kwa mfano, ukiwekwa mdahalo wa kuchuana kati ya wazungu na waafrika kwenye mada yoyote ile, kati ya maksi 10, waafrika watapata ngapi?
Tatizo sio umasikini, inawezekana labda ni vipaumbele tu; ebu twende kwanza katoro.Kuna kitu jamii za kimaskini tunashindwa kuelewa sio kwamba sisi hatuwezi kuvumbua mimi tu binafsi katika makuzi nilikua mvumbuzi sana tu
Lakini ukweli ni kwamba vumbuzi ni gharama sana unahitaji muda material mbalimbali,utahitaji rasilimali watu una hitaji garage au maabara kwa ajiri ya majaribio mbalimbali na huwa inachukua hata miaka
Swali ni familia ngapi zenye uwezo wa kufadhili mchakato ghali kama huo hapa afrika.
''kwa ujumla wao(Population cognitive ability) wapo smart kutuzidi...'' kwa nini wao wako hivyo na si huku kwetu?Sasa swali la kwenye post na ulilouliza hapa ni vitu viwili tofauti,watakao shinda ambao wana uelewa wa mada husika,wanaweza kushinda waafrika au wazungu,..
Sio kwamba wazungu wote smart or waafrika wote vilaza,but kwa ujumla wao(Population cognitive ability) wapo smart kutuzidi...
Kwa kua unatafuta engagement wacha tuachie hapoTatizo sio umasikini, inawezekana labda ni vipaumbele tu; ebu twende kwanza katoro.