Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #61
Kwa hiyo hatuwezi kubadilika?Mawazo yangu binafsi juu ya hii hali ni kua inasababishwa na mambo makubwa mawili;
1: Uumbaji wa mungu mwenyewe,yani kuwa hivi ndo the way tulivyoumbwa. DNA zetu ndo zipo hivi.
2: Mazingira,kwa waafrika(maana ndio asili ya weusi) huku Afrika ni bata sana. Hatuhitaji kufikirisha akili zetu kusurvive.
yani ardhi ambayo komba anaweza akaangusha embe hlf miaka kadhaa ukaota muembe hatuwezi fanana na watu ambao toka enzi akili zao zipo on survival mode
Na hawa wa kwetu wanaosoma nje, wanavumbua nini?Swali Zuri,ukizaliwa na uwezo mkubwa wa kufikiria or uvumbuzi,but usipokua exposed na mazingira mazuri iwe elimu nzuri or unapoishi uwezo wako utakua Stagnant,,as they say
"You can't be successful more than your exposure"
Jiulize kwanini wenye vipaji wanakimbilia vyuo bora duniani??au why top scientist wa China 80% wamesoma marekani??
Kinasemaje?Tuanze kwanza na RECORD YA KITABU CHA GUINNESS KWANZA
Ujengewage mnara wa heshima ili hii comment isifutike mkuu...😜Ila makebo hata yanapokuwa gizani wanayaona 😜
Duh kwa mara ya kwanza nasoma comment ya@raraa reree. Zamani nilikuwaga najua ni AiWewe tayari ni mvumbuzi
Ume vumbua kuwa watu weusi hatuvumbui vitu
Watu Weusi pia wanavumbua vitu sema Tu huna time ya kuwajua,Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Anayetakiwa kuchangia uvumbuzi ni nani?Watu Weusi pia wanavumbua vitu sema Tu huna time ya kuwajua,
Wavumbuzii wake sio wengi mostly sababu zas kiuchumi, siku hizi sayansi ni hela.
Pia Rushwa, culture na mengineyo huchangia.
Tangu awali haujengi akili kuwa na uwezo wa kufikiri kwa ubunifu na kufanya uvumbuzi. Kwa kifupi mfumo wetu wa Elimu unaandaa watu wa kupokea maelekezo na kuyafanyia kazi kama yalivyo(maroboti).Umekuwaje?
Ndiyo. Kama wataweza kuzisimamia fedha hizo vizuri na kuwe na performance appraisal kwa wasimamizi katika kuleta matokeo chanya. Uvumbuzi huo unaweza kuwekewa mifumo ya kisheria ya patent, ili muwekezaji anayetaka kutumia uvumbuzi huo sharti atenge kiasi cha pesa kumlipa huyo aliyevumbua.Kwa mfano, ikitengewa hela nyingi, inaweza kuleta matokeo yoyote?
Kwa hiyo, mifumi hairuhusu watu kudadisi?Tangu awali haujengi akili kuwa na uwezo wa kufikiri kwa ubunifu na kufanya uvumbuzi. Kwa kifupi mfumo wetu wa Elimu unaandaa watu wa kupokea maelekezo na kuyafanyia kazi kama yalivyo(maroboti).
Mfumo wao wa Elimu unazifinyanga akili zao kuwa hivyo!''kwa ujumla wao(Population cognitive ability) wapo smart kutuzidi...'' kwa nini wao wako hivyo na si huku kwetu?
1. Tatizo Katiba tuliyonayo imempa nguvu nyingi sana Rais.Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Gugo kitu kinaitwa mpemba effect
Sina uhakika sisi watu weusi tumekuwepo kwa muda gani duniani ila as far as I know always tuna trail nyuma ya weupe. So technically yesKwa hiyo hatuwezi kubadilika?
Watu weusi wamevumbua vitu vingi sana tena tunavitumia kwenye maisha ya kila siku. Nilitaka kuandika hii mada lakini gunduzi zilikuwa nyingi nikaona uvivu kuandika.Tatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Mkuu maswali yako majibu unajua ila tunapoteana muda,wewe vidudu hadi High school umesoma NECTA,Chuo SUA,halafu masters ndio umepata sponsorship huko,itasaidia nini??..still upo shallow,hata ungeenda kusoma bachelor degree still sio issue,Msingi na mazingira yalishakua mabovu Tangu awali,kwa wenzetu wapo serious na elimu ya watoto kuzidi Vyuo..Na hawa wa kwetu wanaosoma nje, wanavumbua nini?
Ndiyo. Kama wataweza kuzisimamia fedha hizo vizuri na kuwe na performance appraisal kwa wasimamizi katika kuleta matokeo chanya. Uvumbuzi huo unaweza kuwekewa mifumo ya kisheria ya patent, ili muwekezaji anayetaka kutumia uvumbuzi huo sharti atenge kiasi cha pesa kumlipa huyo aliyevumbua.
Mbona kuna Mtanzania yule aliyevumbua gauge ya kusoma mtungi wa gesi, jina nimesahau, baada ya kuvumbua ile gauge akaona bongo miyeyusho mingi, akaenda Kenya, muwekezaji alimlipa pesa nzuri tu.(Billions ladhaa) Hiyo stori mpaka ikatolewa kwenye magazeti.