Hivi mzee kwanini watetezi huwa mnapenda kutumia hizo shuhuda za zama za kale za chuma ku justify uzembe uliopo sasa ?Yale Ma- pyramid walijenga wazungu !? Ukajifunze kuhusu civilization from kemet utaelewa zaidi
Watoto wanasoma science au historia ya science ?Research and Development. Nchi inatakiwa kuwezesha mazingira ya mtoto kuendeleza kile alichojifunza shuleni. Tunasomesha watoto shule za sayansi lakini akimaliza shule, ni wapi ataweza ku apply kile alichosoma? Ilitakiwa kuwe na labs, karakana, mashamba darasa nk.
Ebu tuwekee orodha, na uonyeshe amevumbua kitu gani chenye mashiko.Labda huwajuwi tu wavumbuzi weusi wapo wengi sana.
Kwa nini hatufiki mbele, tatizo ni nini?Tunagundua mengi tu tatizo ni kuyaendeleza
1. Gobole/bunduki
2. Baiskeli ya miti, ingeendelezwa ingeweza kuwa pikipiki
3. Toroli/kilikuu
4. Gari la udongo/vijiti
5. Sufuria za udongo/kufinyanga
Vipo vingi tu shida ni muendelezo hata aliyegundua ndege sio alieindeleza hadi ikawa kama hizi tunazopanda sasa
Je na sisi mifumo yetu ikiboreshwa, tutakuwa kama wao?Mfumo wao wa Elimu unazifinyanga akili zao kuwa hivyo!
Tule nini sasaugali ugali ugali
Kwa nini inakuwa hivyo?1. Tatizo Katiba tuliyonayo imempa nguvu nyingi sana Rais.
2. Tatizo la pili utawala mbaya wa CCM..
3. Tatizo la 3 ni kukithiri kwa rushwa
Hayo hapo juu ni majibu ya watu wasiopenda kukiri mapungufu yao.
Mbona no wagunduzi wazuri wa style za kungonokaTatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Amefanyaje?View attachment 3638090
Pia asome habari kuhusu Vivien Theodore Thomas
Sana tu. Ulivyo kiakili ni kwa ulishwacho!Je na sisi mifumo yetu ikiboreshwa, tutakuwa kama wao?
Hao wa kaskazini waliokuwa wanafaulu sana walifanya ugunduzi upi wa maana ambao hao wa waliokuja kupendelewa baadaye hawawezi kuufanya?Wazungu wanakula vizuri sana,Mazingira yao,.pia na utamaduni wao wa kupenda kujifunza na kudadisi,kusoma vitabu
Wazungu mbali, kama umefatilia historia ya elimu Tanzania Miaka ya 60,watoto wa Kaskazini walikua wanafaulu sana kuzidi sehemu zingine za Tanzania,serikali ikaona wasomi nchi nzima watajaa watu wa huko,so wakaongeza Pass mark kwa shule za Arusha,Moshi,Kagera,..
Wakashusha Pass marks kwa shule za Pwani,Nyanda za Juu kusini,..
Kama wazungu walituwahi na hawakutaka sisi tujulikane kwenye vumbuzi, kwa nini sisi tusingewawahi wao kuwafanyia hizo fitina?Watu weusi wamevumbua vitu vingi sana tena tunavitumia kwenye maisha ya kila siku. Nilitaka kuandika hii mada lakini gunduzi zilikuwa nyingi nikaona uvivu kuandika.
Lakini waty weusi wapiogundua vitu wengi wao ni Black Americans, so inaonekana tatizo sio kuwa mweusi, bali mazingira unayoishi
Pia usisahau, haijalishi Africa iligundua vingapi before, history yetu ilikuwa erased na watu weupe, ila historians wanadai kulikuwa na a lot if civilizations in Africa lakini white supremacy ndio chanzo cha kuifukia isijulikane na dunia
Kwa hiyo hata CCm tutawalaumu bure tuuu?Mtazunguka kote ila ukweli utabaki, ni kwamba watu weupe hasa wazungu na watu wa Asia wanatuzidi akili.
Jamii, na jamii yenye Njaa na inayopata kidogo kwa ajili ya kuishi haiwezi kuvumbua leading edge node ya semiconductor.Anayetakiwa kuchangia uvumbuzi ni nani?
Sana sana, hapo vyuo vya kati vikisimamiwa na vyuo vikuu.Ni nani anayetakiwa kuanzisha hili hitaji la kutengwa fedha kwa ajili ya uvumbuzi wa kisayansi, ni vyuo vikuu, vyuo vya kati, vyuo vyote au ni wizara?
Hizo ulizotaja na kuita gunduzi ni ujinga mtupuTunagundua mengi tu tatizo ni kuyaendeleza
1. Gobole/bunduki
2. Baiskeli ya miti, ingeendelezwa ingeweza kuwa pikipiki
3. Toroli/kilikuu
4. Gari la udongo/vijiti
5. Sufuria za udongo/kufinyanga
Vipo vingi tu shida ni muendelezo hata aliyegundua ndege sio alieindeleza hadi ikawa kama hizi tunazopanda sasa
Inadunisha udadisi,haichocheiKwa hiyo, mifumi hairuhusu watu kudadisi?
Mkuu,ujinga tena?Hizo ulizotaja na kuita gunduzi ni ujinga mtupu
Acha uvivu soma habari zakeAmefanyaje?