soHivi mzee kwanini watetezi huwa mnapenda kutumia hizo shuhuda za zama za kale za chuma ku justify uzembe uliopo sasa ?
Ni sawa pyramids were built by Africans. But the question is why are we not inventing anything nowadays?
Watoto wanasoma science au historia ya science ?
Kama ni kweli hautaki tuzungumze !? 😂😂Hivi mzee kwanini watetezi huwa mnapenda kutumia hizo shuhuda za zama za kale za chuma ku justify uzembe uliopo sasa ?
Ni sawa pyramids were built by Africans. But the question is why are we not inventing anything nowadays?
Watoto wanasoma science au historia ya science ?
Dunia ya leo unajisifu umegundua gobore, kweli ?M
Mkuu,ujinga tena?
😅😅😅😅 Ushimen mchokozi muone 😅.Ujengewage mnara wa heshima ili hii comment isifutike mkuu...😜
Hizi ndio comment za maana sasa....View attachment 3638087
Mazingira na utamaduni piaMfumo wa Elimu
Nini kifanyike ili na sisi tuwe kama wao?Mkuu maswali yako majibu unajua ila tunapoteana muda,wewe vidudu hadi High school umesoma NECTA,Chuo SUA,halafu masters ndio umepata sponsorship huko,itasaidia nini??..still upo shallow,hata ungeenda kusoma bachelor degree still sio issue,Msingi na mazingira yalishakua mabovu Tangu awali,kwa wenzetu wapo serious na elimu ya watoto kuzidi Vyuo..
Tunaweza ku argue kua "mbona kuna shule za international hapa,still wamegundua nini" well hao ni 00.01
Are you serious!?? Hayana mashiko mean while Kuna watu wanaenda Giza kutalii na kushangaza hayo mavitu !?Inabidi tujiulize, ndege inaeleaje angani huku ikiwa imebeba mzigo wa tani 10? haya ya kujenga pyramid hayana mashiko wala tija.
Wenzetu wametuzidi kila kitu mpaka kwenye haya mambo, na bado wanasonga mbele.Mbona no wagunduzi wazuri wa style za kungonoka
Usimwambie mtu...😋😅😅😅😅 Ushimen mchokozi muone 😅.
Huyu anauliza swali huku majibu anayo 😅😅
Ni nani wa kuboresha hiyo mifumo?Sana tu. Ulivyo kiakili ni kwa ulishwacho!
Weusi ndio wavumbuzi wa asiliTatizo ni nini, ipi inaweza kuwa jibu sahihi?
Ni vyakula tunavyokula vinadumaza ubongo Upeo wetu ni mdogo Hatujakamilika kuwa binadamu kamili Tumeridhika na vinavyoletwa na wazungu Tumekata tamaa Hatujastaarabika Imani za dini imetuzidi Si jukumu letu kuvumbua Tumezaliwa ili tuishi baadaye tufe Elimu zetu Bado tupo gizani Tumelogwa n.k
Nini kifanyike ili nasi tuwe wavumbuziJamii, na jamii yenye Njaa na inayopata kidogo kwa ajili ya kuishi haiwezi kuvumbua leading edge node ya semiconductor.
Inawezekana kweli katika kuandaa bajeti zao za kila mwaka huwa hawakiweki hicho kipengele?Sana sana, hapo vyuo vya kati vikisimamiwa na vyuo vikuu.
Mitaji na pia kubweteka kutokana na vitu tunavyoletewa ambavyo vinarahisisha maisha hutudumaza akiliKwa nini hatufiki mbele, tatizo ni nini?
Kwa mfano, tukawekewa mifumo ya kielimu na hao wazungu, tutaweza kufanya chochote kinacho onekana?Inadunisha udadisi,haichochei
Unaviona ni vya kijinga kwakuwa havijaendelezwa, siku zote wakati wa kuanza hakuna anaekuona wa maana ila ukifanikiwa kila mtu atakusifu, watu huwa hatutaki process tunataka matokeo mazuriHizo ulizotaja na kuita gunduzi ni ujinga mtupu
Habari yake inahusu nini?Acha uvivu soma habari zake
Sina hakika kama kinafanya kaziMfano kiwanda cha machine tools hapo Kilimanjaro ilitakiwa kuwe na mass production ya vipuli (viwanda, magari, pikipiki) lakini machine zipo tu sijui bado zinafanya kazi au Lah