inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kabla ya utumwa na ukoloni tulikuwaje?...mtu mweusi katawala sana misri,nchi iliyokua imeendelea na kustaaribika kuliko yoyote kipindi chakeHakuna eneo ambalo mtu mweusi anafanya vizuri, iwe siasa, uchumi, imani/dini, utamaduni, mahusiano, kusimamia mali asili, mtindo ya maisha,lugha, mpaka majina yetu ni ya kutoka huko huko.
Inasemekana wakati a uumbaji, mungu alisahau kuweka ubongo kwa mtu mweusi.
Hata kampuni kubwa Tanzania ni za wahindi,waarabu,wasomali
Waswahili sisi sijui shida nin jamani
Ni kweli mkuu. Lakini wao ndio masonara na wamiliki wa hayo maduka. Na sisi ndio wateja wao wakubwa.ila pia ni ngumu sana kukuta ngozi nyeupe maarufu kajijaza hayo madude shingoni na vidoleni.
wao wana ugonjwa wao,ma tatoo.
tatizo lenu waswahili mnarogana sana chuki, dharau, ubinafsi, uchoyo jamani hee!! tuna badilisha majina sababu ya malogo na kutiana mikosi kwa kutumia majina! hatupendani kamwe ndo siraha kubwa anayo tumia mzungu! yaani ile kuchukiana weupe wakigombana wanapatana lkn mswahili anafurahi kaka anapo pigika!Ni kweli inajionesha kabisa sisi ni watumwa wa mtu mweupe.Kinachonikasirisha ni kukataa mpaka majina yetu na kukataa vyetu.
sisi ujanja mwingi hatujaliani,,,mweusi haoni tabu kukupiga wewe mweusi mkenge....jiwe aliua sana weusi weupe aliogopa sasa kwa nini umfuate nashangaa waswahili bado mpo bongoNi kweli mkuu. Lakini wao ndio masonara na wamiliki wa hayo maduka. Na sisi ndio wateja wao wakubwa.
Kuna weusi wamejaribu kufungua hizi biashara lakini zimewafia kwa kupata wateja wachache. Quality na bei ni ile ile lakini mweusi anamvuka mweusi mwenzake na anaenda kununua kwa mzungu, muhindi, mchina na n.k!