ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
ManenoUmeandika nn wewe
Kuwa mwanasiii hasa asibugudhiwe wakati akijiporea keki ya taifa.Umeandika nn wewe
Wakurugenzi wamashirikaUngetoa/kuwataja kwa mifano hao watumishi wa umma wezi/vibaka/mafisadi wenye utajiri na sledi yako ingekuwa inapata nguvu zaidi.
Wakurugenzi wamashirika na wale wakuu wa vitengo kwenye mawizara ukwasi walionao sio mchezo kwa mwaka lazima aingize zaidi ya million 700Mifano ya wanasiasa ipo wazi, toa yako ya hao matajiri wengine.
Ni wote au kuna uliowabaini specifically?Wakurugenzi wamashirika
Bado hiyo haitoshi kuwaweka/kuwataja kiujumlajumla tu.Je,wanaiba?Kama tungepata viwango vyao vya mishahara,posho na marupurupu mengine haviendani na uhalisia ndipo tungekuwa na kianzio cha kuwasimanga.Wakurugenzi wamashirika na wale wakuu wa vitengo kwenye mawizara ukwasi walionao sio mchezo kwa mwaka lazima aingize zaidi ya million 700
Changamoto ambayo imekuwa tatizo kwa wananchi kuchagua watu masikini kushika nafasi za kisiasa.Halafu,hao wachaguliwa wa kisiasa wanakuwa na nguvu kuliko wataalamu.Wakiingiza na tamaa zao ndipo huwapanga wataalamu waanze wizi wa mali za umma.Wataalamu wakikataa kushiriki madeals na kutumia utaalamu wao kuiba,ndipo wanasiasa huwatishia kuwaazimia mabaya kwenye vikao vya maamuzi au kuwanyanyasa bila huruma hadi waingie kwenye mifumo wanayoitaka.Wanasiasa ndio wanaongoza nchi. Ndio ambao wakiwa na uzalendo wanaweza kuweka mifumo ya kupunguza kabisa upigaji ngazi zote.
Utawala bora ni tunda la wanasiasa bora.
Mkuu shida sio kuchagua maskini shida ni ngozi nyeusi kwani akina riz1 akina shabiby ni maskini?? Ila pale walipo mpaka shilingi 100 wanaitamaniChangamoto ambayo imekuwa tatizo kwa wananchi kuchagua watu masikini kushika nafasi za kisiasa.Halafu,hao wachaguliwa wa kisiasa wanakuwa na nguvu kuliko wataalamu.Wakiingiza na tamaa zao ndipo huwapanga wataalamu waanze wizi wa mali za umma.Wataalamu wakikataa kushiriki madeals na kutumia utaalamu wao kuiba,ndipo wanasiasa huwatishia kuwaazimia mabaya kwenye vikao vya maamuzi au kuwanyanyasa bila huruma hadi waingie kwenye mifumo wanayoitaka.
Ni kuendeleza mahovyohovyo tu.Kutokuridhika,uchoyo wenye kisingizio cha ubinafsi na tamaa ya kujilimbikizia mali kama wana maongezi marefu na kifo.Mkuu shida sio kuchagua maskini shida ni ngozi nyeusi kwani akina riz1 akina shabiby ni maskini?? Ila pale walipo mpaka shilingi 100 wanaitamani
Wanaiba,kutunza kiasi na kuhonga mabibie wao.Mwanasiasa mmoja anaiba shea ya wananchi wa mkoa mzima, kwahiyo ratio ipo sawa.....tuendelee kula kwa urefu wa kamba.
Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye mataasisi yanayopaswa kusimamia sheria nachokiona wanasiasa wametunga sheria sema Tu wanaopaswa kuchukua hatua ndo wamelala ila huu wivu kuona wanasiasa wamekuwa matajiri ni ujinga yanini kuumia mwanasiasa kuwa millionea wakati wako matajiri kibao nchini.