Kwanini soka la wazungu halina ubabaishaji huu?

Kwanini soka la wazungu halina ubabaishaji huu?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Jumamosi Man Utd anacheza na Spurs pale Old Trafford, lakini mpaka sasa sijasikia kuwa Man Utd au Spurs wameenda kuweka kambi kujiandaa na mechi hii.
Wachezaji wanakutana kawaida mazoezini wakimaliza kila mtu anarudi kwake.
Kwanini soka la wazungu halina ukanjanja huu wa kuingia kambini?
Je huko kambini wanakoenda Simba na Yanga kujiandaa huwa kuna jambo gani la maana?

Karibuni kwa mjadala huru.
Povu ruksa maana nina nguo chafu za kutosha.
 
Soka la bongo makeke meeeengi uwanjani zero. Mimi lilinishinda kwakweli silifuatilii hata...
 
Pamoja na mengine tim hizi huweka kambi kuelekea derby zao ili kuwaweka sehem moja wachezaji ili mpinzan asipate nafas ya kuwahonga mastaa wa timu. ndio maana huwa wananyang'anywa sim.
 
WANAKIMBILIA WAGANGA HUKO NA KUOGOPA
WACHEZAJI KUHONGWA NA TIMU PINZANI
WACHEZAJI WAO WAZAMANI WAKIHOJIWA HUSEMA
HIVYO
 
Back
Top Bottom