Kwanini spare tyre huwa vidogo?

Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!

Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?

Maajabu sana.
Ni mentality ya watu kutopenda kuweka akiba, waliweka tyre ya kawaida utaitumia alfu usikumbuke kuweka nyingine kama spare. Wakiweka hicho kidogo kikusaidie tu kufika kwenye utatuzi wa kupata tyre nyingine na hiyo uendelee kuiweka kama spare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
temporarily ni adverbial au KIELEZI
temporary ni adjective=sifa

mfano kimatumizi matumizi
1) that boy cleared the path temporarily > as he angered for meagre wages
2) that boy cleared the temporary path > for the caravan to pass.
Ile haiitwi spare tyre bali temporarily tyre. Matumizi itumike pale dharula inapojitokeza ili ufike eneo la huduma pia haifai kufungwa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamojaa na sababu nyingine, ila sababu kuu ni cost saving tu. Sababu hicho kitairi kidogo ni free option. Ila kama unanunua gari jipya unapewa option ya kuweka a full size spare tyre, lakini unalipa zaidi.

Hiyo sehemu ya kubeba spare tyre inauwezo wa kubeba a full size tyre. Ndio maana kwa model nyingi za gari za Japan zinazouzwa Europe na America wanaweka full size spare tyre badala ya kile kidogo.
 
Mkuu spare tyre hua ndogo kwa magari madogo tu ukiwa na SUV unapata spare tyre kubwa kama kawaida...SUV simaanishi hizi Harrier, Vanguard, Rav 4 etc namaanisha Landcruiser, Nissan Patrol, Pajero etc..
 
Ni spare, unafunga pale unapopata dharura ufike pale unapoweza kupata msaada.

Pili huoni kwamba inaokoa nafasi kwa udogo wake?
 
Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!

Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?

Maajabu sana.
Lile sio Spare Tyre actually ni Temporary Tyre tuu
 
Sio salama sana kua unatumia temporary Tire kama mbadala wa Normal Tires. Nakushauri utafute Tire inayofaa kwenye gari yako
Tatizo kwenye buti full sized tyre haiwezi kukaa! Nilijaribu nikaona ni kubwa sana. Ila nitafanya maamuzi.
 
Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!

Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?

Maajabu sana.
Nunua Land Cruiser v8 hutoona hizo takataka [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mguu wa Jini unatakiwa kutembelea kilometer zisizozidi 200.
 
Mkuu spare tyre hua ndogo kwa magari madogo tu ukiwa na SUV unapata spare tyre kubwa kama kawaida...SUV simaanishi hizi Harrier, Vanguard, Rav 4 etc namaanisha Landcruiser, Nissan Patrol, Pajero etc..
Hata kwa sedan, zipo zenye tyre kubwa, mfano Crown. Nafikiri zenye vi tyre vidogo dogo ni vile vigari vidogo dogo pia
 
Hii ni kwa mujibu wako ila kitaalam limewekwa dogo na jepesi ili ku accumulate nafasi kidogo kwenye gari, pamoja na uzito wake kuwa mwepesi kuliko rim halisi za gari ili kumaintain fuel economy maana vitu ubebavyo ndani ya gari vina athari kwenye fuel economy ya gari husika.
 
Matumizi ya tairi ya spare ni kukusaidia kuweza kupata tairi ya msaada ya kukusindikiza gereji au kituo cha huduma uweze kurepair gari yako incase umepatwa na dharula ya kupata pancha au upepo kupungua ghafla.

So kikawaida tairi hii lazima iwe ndogo ila imara kisawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…