Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 447
- 712
Nina mashaka na hilo maana mfanyabiashara analeta bidhaa yenye wahitaji wengi ushauri nunua tyre pana complete pamoja na rim
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kuipata dukani hiyo temporary? Yangu imekua kipara (flat)
Sent using Jamii Forums mobile app