Huu wimbo wake wa 'future wife' ni mzuri sana kiukweli mzuri haswaa; mashairi na video vyote viko poa.
Ambacho sielewi ni kuonyeshwa kwa picha za wabunge wale 19 ambao nyie, kule katika jukwaa lenu linalochukiza la siasa, mnawaita 'covid-19' mkufikiria kwamba eti Kuwaiti hivyo labda wataachia ubunge wao. Wajuzi wa hii fani ya uchambuzi wa kazi za sanaa tafadhali tudadavulieni, kwanini zile picha?
Huyu kijana akili yake iko vizuri sana kiukweli ana vitu vya kufikirisha sana. sijasahau ile video yake na roma kuna mwanamke mjamzito anapitapita mbele yake, sijui alikuwa anamaanisha nini?