Kwanini steling ya gari haikuwekwa katikati?

Kwanini steling ya gari haikuwekwa katikati?

Ijawekwa kati maana ingekaa kati basi angezuia wale wa nyuma kuona vizuri mbele
 
Gia box ikae wapi au huon magari pale pemben ya dere kuna kama mpaka je na abiria wa pemben
 
Mgunduzi wa steering wheel pembeni ni dereva. Ambaye aliwaza namna rahisi ya kujiokoa incase of emergency. Yaani kuruka [emoji3][emoji3]kupitia mlango wa dereva. Ndio maana hata door controls pia zipo upande wake. Imagine atoke katikati ampite abiria wa pembeni ndo aruke.
 
Back
Top Bottom