peter_intelligent
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 604
- 519
Hahahahah... We jamaa kweli ni intelligent.Imewekwa pembeni ili kumsaidia traffic pindi akusimamishapo muweze kuongea kirahisi ana kwa ana
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona bajaji ipo kat?Gia box ikae wapi au huon magari pale pemben ya dere kuna kama mpaka je na abiria wa pemben
mbona bajaji ipo kat?